King money
New Member
- Oct 3, 2023
- 3
- 0
Nauliza jinsi ya kuanzisha biashara ndogondogo sababu Sina mpango wa kuajiriwa
😂😂😂Vichwa maji watakuja kunishangaa eti ni kwanini ninachekaNauliza jinsi ya kuanzisha biashara ndogondogo sababu Sina mpango wa kuajiriwa
Hee hutaki kuajiriwa na hujui jinsi ya kuanzisha biashara , kuanzisha biashara siyo shida tatizo uhakika Wa watejaNauliza jinsi ya kuanzisha biashara ndogondogo sababu Sina mpango wa kuajiriwa
Ndio maana naomba mawazoHee hutaki kuajiriwa na hujui jinsi ya kuanzisha biashara , kuanzisha biashara siyo shida tatizo uhakika Wa wateja