Naombeni wazo la Biashara

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
455
Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam?

Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo.

Mimi nilikua na mawazo ma 2

La kwanza biashara ya mazao.

Na la pili biashara ya miamala ya Simu.

Yaani nifanye moja wapo Kati ya hizo.
 
1.fuga kuku wa kisasa
2.fungua biashara ya kifedha mfano mpesa,tigopesa...nk
3.fungua banda za chips
 
nunua marobota ya mtumba nguo za kike za milioni 1.8 nenda vijijini kwenye minada na sehemu mbali mbali nguo isizidi 2000
 
Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam?

Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo.

Mimi nilikua na mawazo ma 2

La kwanza biashara ya mazao.

Na la pili biashara ya miamala ya Simu.

Yaani nifanye moja wapo Kati ya hizo.
Biashara ya chakula haijawahi kumtupa mtu...ina baraka sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom