biashara

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  2. excel

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuuza mali zangu baadhi nijikite kwenye Biashara

    Habari za majukumu Ladies and Gents. Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k) Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs. Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina...
  3. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasomi na wasio wasomi lakini ni wajasiriamali acheni kukodi fremu ili kufungua biashara

    Jamani eeh, kukodi fremu ufungue duka unapoteza hela zako. Somo hili kichwa cha habari hii kinahusika. Hii tabia imekithiri sana hapa nchini. Utakuta mjasiriamali analipa pesa nyiiiingi kulipia chumba cha duka akitarajia kupata pesa nyingi, ni kosa kubwa sana. Njia zifuatazo zinaweza tumika...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upo uwezekano biashara ya massage+ na vibes za body to body na kachumbari ya happy ending vitaongeza kasi kupaa kwa ushoga na usagaji

    Hello, kuhusu sakata la ongezeko la majumba ya massage services hasa lile vibe la body to body + happy ending, na promo yake ya nguvu, nachelea kusema ukizingatia privacy iliyopo maeneo hayo tutarajie ongezeko kubwa la ushoga na usajili. Massage zitavunja sana watu bikra zao za matundu madogo...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu aagiza taasisi za serikali kuacha kufungia biashara

    WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ukaguzi na udhibiti kuacha kufungia biashara na viwanda, kwani kufanya hivyo ni kusimamisha uchumi wa nchi. Kijaji alisema katika maonesho ya wafanyabiashara yaliyoandaliwa na Wakala wa Usajili wa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nina wazo hili la biashara, naombeni ushauri wa kuliboresha

    Habari, Nina wazo la biashara ila mtaji unazingua, nitaanza na nilichonacho. Kwa kuwa nimeishi Dar muda mrefu na nimejuwa mitaa na chocho za Dar, hakuna sehemu utanipoteza Dar. Basi nachofikiria kichwani mwangu, nafungua office mkoani kwakua mkoani kuna watu wanahitaji vitu mbalimbali ila...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wanahujumu miradi ya SGR wakiwaza biashara zao za mabasi na malori zisife. Muda si mrefu tutaburuzwa mahakamani kwa kukiuka mkataba

    Gharama kubwa za kodi za wananchi zimetumika. Lakini wapo viongozi ambao wametumia ofisi za umma kukwamisha miradi ya SGR kwa malumbano yasiyo na tija. Ukijiuliza wananufaike utasikia wanamiliki mabasi na malori ya mizigo na hivyo miradi hii inakuja kuwaondolea abiria na mizigo. Lakini pia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Gharama za ujenzi wa fremu za biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Habari Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi. Naomba kuwasilisha
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

    Wakuu namshukuru Mungu kwa hii pumzi na kwa riziki zake. Mimi ndugu yenu siku za hivi karibuni nimeona ni muda muafaka wa kuanzisha chanzo kingine cha mapato ila bado sijafanya maamuzi kamili. Nimekuwa nikiwaza sana nifanye biashara gani tofauti na ninayofanya kwa sasa ndo nikapata mawazo mawili...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu huwa sitaki kuwaweka ndugu kwenye biashara zangu, Ni heri niwape mitaji wafungue biashara zao wapambane kivyao !!

    Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
  13. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya kuuza mayai

    Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu. Anijuze napenda kuanza biashara hii Location ni Moshi Mjini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo. Naomba mawazo yenu wakuu. Asante
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya kujenga kwa ajili ya biashara

    Habari zenu, Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha. Namaanisha mikoa yenye good return in investment. Asanteni
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Afrika na NORDIC zakubaliana kuboresha biashara na uwekezaji

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi hizo. Makubaliano hayo yameafikiwa wakati wa Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu. Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo. Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtumba

    Hello guys, Kama upo na mtaji niletee mzigo wa belo za baibui za mtumba tufanye kazi, fremu ipo good location, unaweza kujitengenezea laki 3+ kila mwez. Belo moja ya baibui grade A ni km laki 6-7. Nipo Zanzibar, any one interested na hiyo biashara nione, serious people only kama nilivyofanya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
Back
Top Bottom