Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni...
Kuuliza si ujinga, walisema wahenga. Nami kwa kuheshimu methali hii naomba kuuliza bila uoga, hivi hizi ATM ni mtu yeyote mwenye mtaji anaweza kufungua ATM ? kama Kuna mtaalam basi afafanue na gharama kwa undani kidogo, kwenu wakuu.
Habari za asubuhi
Nilikuwa naomba kuuliza hii biashara ya kuuza maji ya kunywa Katika vituo mfano wa atm imeakaaje ( faida na hasara zake)
Naomba kuwasilisha
Habarini za asubuhi
Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake.
Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara.
Bali kikubwa ni biashara...
........... (Salamu)
Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo Dar, Ubungo)
Changamoto kwangu naona sina uzoefu wa kusimamia hizi biashara, hii ya kwanza naiweza...
Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY
===
Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo
Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako
Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379
men's socks
6.5rmb(dazen) X 379=2463.5Tsh kwa dazen 1 sawa na 206 kila soksi
women's socks
6.8rmb(dazen) X...
Habari!
Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨
🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍
Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
SIDIRIA
Bei ya china 15yuan kwa kilo 1
Oda kima cha chini 100kg (belo 2)
15x100=1500yuan
1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023)
100kg nikama sidiria 1000-1200
568500÷1200=474 kila sidiria
Ukiweka na usafiri nikama 700 kila sidiria...
Wakuu poleni na majukumu.
Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania.
Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
Wadau naomba kufahamu aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara.
Faida inakatwa kwa asilimia ngapi, kodi ji zipi zinakatwa?
Please help
Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne.
(NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
Habarini,
Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)?
Material ipi ya turubai uwa inadumu, je ni pvc ikiwa na high strength polyster au pe tarps?
Nitashukuru kwa msaada wenu wataalam
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?
In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common...
TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi.
Ndio ukweli,
Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM.
Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi
1> Wahudumu
2>Wanywaji
Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara.
Sasa piga mahesabu...
Habari Wakuu.
Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo.
Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.