Biashara na imani za giza

yunus75

New Member
Dec 27, 2023
3
2
Marafiki wa kiume na wa kike kuna changamoto kwenye biashara yangu ha kukaanga chipsi ina mfa mfupi toka nifungue ila watu wakija kununua wananiambia biashara bila mizizi haiendi.

Mwengine akaja kuniambia katafute dawa ya mvuto wa biashara kuna mda najihisi kukata tamaa na sitaki kutumia miti shamba ya waganga pia naamini biashara lazima ianzie chini na ikutane na misukosuko na izoeleke ili wateja waje na faida ionekane

Je, una maoni gani juu ya hii biashara?

IMG_20240119_205552_211.jpg
 
View attachment 2876745
Ulivyoanza kututaja marafiki kijinsia tu nikagundua kuna tatizo
 
Back
Top Bottom