Mara baada ya nchi yetu kupata uhuru iliamua kufuatia mfumo wa siasa ya ujamaa na kujitegemea na ilipofika mwaka 1967 lilitangazwa Azimio la Arusha ambapo njia kuu zote za uchumi zilikuwa zinamilikiwa na kusimamiwa na dola ikiwemo mifumo rasmi ya masoko ya mazao. Mashirika mbali mbali yaliundwa...
Wakuu salama?
Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo.
Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa Korosho anaweza kuuza korosho Msumbiji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri...
Habari wakuu,
Nafikiria kuanzisha biashara ya kukopesha kama ka microfinance kadogo lakini nibaki na dhamana.
Kwa mfano una simu au laptop unakuja unaicha ofisini (baada ya kujaza form ya mkataba na kuacha kopi ya ID) then unachukua mkopo unafanya yako within siku thelathini unakuja na pesa...
Nilikwenda soko la Ferry kununua samaki. Niliona wavuvi wanauza dagaa kwa ndoo. Wazo nililolipata ni kwenda Ferry asubuhi na jiko la mkaa na kopo moja tu la mkaa ndani. Chupa ya mafuta na chumvi.
Ukishanunua wale dagaa unawakaanga pale unawaweka kwenye ndoo na kupanda nao mwendo kasi...
Habari wana jamvi!
Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa.
Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya...
Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine?
Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao...
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
=========
MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA"
USHETU,SHINYANGA
Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
Habari wakuu,
Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.
Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru.
Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani.
Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...
Habari wana Jf,
Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar.
Nilikuwa naomba.
1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe.
2. Connection za wakulima wa zao hili.
3. Connection za masoko...
Habari
Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi (Individual), ubia (Partnership) au Kampuni (Company).
Na ili uweze kukamilisha usajili huu lazima...
Hello
Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka.
Historia
Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu
Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO
Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe mchoyo niweze kushiriki nanyi kwa pamoja tuinue hali zetu za kiuchumi.
Ukiangalia katika mwaka...
Wakuu khabari za asubuhi, mimi kijana wenu mpambanaji ..naendelea kutafuta ni kwa namna gani naweza kujiongezèa kipato. Katika pita pita za town naona kuna fursa ya kufanya hii biashara ya matunda mchanganyiko au kachumbari ya matunda (fruit Salad). Nipeni muongozo wakubwa, naomba kujua...
NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA"
KIGOMA KASKAZINI
Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu
Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu
Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.