biashara

  1. Abdalah Abdulrahman

    Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  2. sky soldier

    Ushauri: Biashara inakaribia kufilisika, pesa ya biashara inatumika zaidi kwenye mambo binafsi

    Ipo hivi wakuu, kuna biashara ya rafiki yangu ambayo ni ya familia ambayo ilikuwa inaenda vizuri tu inaingiza milioni 8 kila mwezi na ndiyo inayolisha familia Sasa ile ni biashara ya familia na mkurugenzi ni baba yao, Pesa ikaanza kuchotwa dukani ili mzee afanyie mambo yake kwenye kesi ya...
  3. muneera75

    Unatakiwa uwe na kiasi gani cha mtaji uweze kufuata bidhaa Uganda?

    Habari, Kwa sisi wenye ndoto za kujiajiri kila kukicha tunafikilia nini cha kufanya ili kujikwamua. Unatakiwa uwe na kiasi cha shillingi ngapi ili kuchukua bidhaa either nguo au viatu au mikoba nchini Uganda? (Ya mtumba) Au ni nchi gani za East Africa kuna unafuu wa kufuata bidhaa na ukapata...
  4. J

    Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

    Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania. 1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani 2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha 3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara 4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na...
  5. GLOBAL CITIZEN

    Biashara hizi 15 zitakutoa 2021

    Wakuu, ngoja nianze kutiririka bila kupoteza muda. 1 • Digital marketing agency. There so much money to be made in this area. Kwa ufupi ni business itakayofanya vizuri kwa miaka nyingi sana sana kwasababu siku zote wamiliki wa biashara wanatafuta watu waliobobea kuwasaidia kupata wateja wa...
  6. SEASON 5

    Ni upi utaratibu wa kufungua biashara mara tu baada ya kupiga kura Oktoba 28? Utaratibu kabla ya kutangazwa matokeo ni upi?

    Habarini NDUGU ZANGU, Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura...
  7. MK254

    Akili kubwa kwenye kilimo biashara - Kenyan fresh produce nets Sh235m at Italian expo

    Thirty-six Kenyan vegetable and fruit companies sold Sh235.22 million worth of produce at this year’s Macfrut Digital Trade Fair in Rimini, Italy. The three-day event, which was in collaboration with the International Trade Centre, was postponed in May amid disruptions brought about by the...
  8. B

    Biashara ya simu

    Habari zenu wadau. Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu. Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na changamoto za hii biashara, nipo kusini huku mwa tanzania
  9. H

    Mkopo wa Million 100 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji

    Habari za majukumu ndugu zangu, Nina wazo la kukopa bank kiasi cha pesa Million 100 kwa ajili kununua mitsubishi canter 2 zenye uwezo wa kubeba tani 3.5 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji bidhaa na mizigo. Mwenye wazo lolote juu ya hili naomba anisaidie.
  10. YoungD

    Kenya to the world: kilimo biashara

    The resilience of Kenyans is just on another level, sit back and enjoy the show... Kenyan flowers now in Ghana...
  11. N

    Nahitaji kujua biashara ya freelance

    Habari za jioni wanajamvi. Ni mgeni humu,shida yangu natafuta thread iliyokuwa inatoa elimu ya kuingiza kipato Cha ziada mtandaoni mf.freelancing nk. Naomba kuunganishwa na mtoa post. Asanteni.
  12. CONTROLA

    Jifunze Kutengeneza wateja wako mwenyewe, Wateja ndio Msingi wa biashara yako

    Unajua ujasiriamali ni Kitu pana yenye inahitaji elimu kila siku jinsi ya kui master na kujua nini ufanye na nini usifanye ili kuepuka kile watu wanaita HASARA,hamna mtu anapenda hasara kila mtu anafungua biashara ili apate faida na hii faida huwa huwezi kufungua tu droo ukakuta hela...
  13. R

    INAUZWA Fremu ya biashara inauzwa Arusha

    Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000). Ni eneo soko na ina hati miliki. Mawasiliano 0768734611 au WhatsApp 0786817145
  14. minyoo

    Mashule binafsi kuweni na huruma licha ya changamoto zenu kwenye biashara

    Watoto waliochelewa kumalizia Ada kidogo ingwe ya mwisho wa mwaka kwenye mashule ya binafsi kutokana na ule mtikisiko wa corona huenda wakaenda kukosa kufanya mitihani kuanzia kesho Jumatatu kutokana na wenye shule binafsi kupanga kuwazuia kufanya mitihani. Serikali tukufu Serikali ya vitu...
  15. muneera75

    Biashara ya kufanya kutoka Malaysia

    Habari. Jamani nina rafiki yangu kapata bahati ya kwenda nchini malaysia anaomba ushauri aje kufanya biashara gani akirudi bongo hivi karibuni? Mwenye idea ya biashara yoyote inayolipa atuambie na pia mtaji inabidi iwe shilingingapi?
  16. GENTAMYCINE

    Japo ni Mwana Simba 'kindakindaki' ila 'navutiwa' mno na Timu yangu ya Nyumbani kabisa Biashara United ya Mkoani Mara (Musoma)

    "Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa nyumbani mpaka sasa" Mchambuzi David Kampista' EastAfricaTV GENTAMYCINE nami nitoe Kongole ( Pongezi )...
  17. Analogia Malenga

    Tanzania mshindi wa tatu tuzo za biashara duniani

    TANZANIA imekuwa Mshindi wa Tatu kupata Tuzo za Taasisi zinazosimamia Biashara Duniani (WTPO 2020) katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano katika huduma ya kliniki ya biashara inayosimamiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade). Tuzo hizo zimetangazwa juzi jijini...
  18. B

    Biashara ya kuhudumia mawakala

    Habar zenu wadau, Mwenye uelewa na hii biashara ya kuhudumia mawakala wa huduma za kifedha, huku nilipo mawakala wengi ni wa airtel money, unakuta wakala hana kabisa flot ana cash pekee au ana cash lakini hana flot. Nimevutiwa na hii biashara, mwenye uelewa na hii bishara anijuze, kamisheni...
  19. Tuttyfruity

    Nipeni mawazo jinsi ya kuendesha biashara

    Mambo vipi wadau. Natumai mko poa na mihangaiko. Anyways moja kwa moja kwenye mada. Nilikuja hapa miezi iliopita kuomba ushauri jinsi ya ku deal na wakopaji maana walifikia kunifilisi kabisa ikabidi nitafute mtaji nianze upya. Nashukuru sana kwa michango yenu niliweza kudhibiti kukopesha na...
  20. J

    Teknolojia ya Alama za QR inavyoweza kubadilisha biashara yako

    Moja ya changamoto ya kutoa huduma yenye ushindani ni kutumia njia ya haraka na salama ya kutoa taarifa kuhusu bidhaa au huduma yako. Kama njia ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa, teknolojia inawezesha uwezo wa kuhifadhi taarifa kuhusu bidhaa au huduma katika mfumo utakaowezesha taarifa hiyo...
Back
Top Bottom