Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

Mrs Dee

Senior Member
Oct 7, 2017
199
303
Habarini ndugu zangu.

Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.

Screenshot_20210420-050325_Instagram.jpg
 
unatumia master kadi ya mtandao gani? kama ni ya airtel delete hiyo account kisha u create nyingine baada ya hapo una add mambo yanakuwa safi tu.
Nilikua natumia ya CRDB ilivyozingua nika add ya voda nalo tatizo liko pale pale. Sasa hata nikitaka kudelete inagoma.
 
Unatumia Mastercard (SIM Related) au Credit Card?

Facebook Ads Manager ipo active na katika hali nzuri?

Siku za hivi karibuni umekiuka kanuni na sheria za Facebook na Instagram?
 
Facebook ads ndo pia nikiifungua inaniambia maandishi kama hayo hapo.
Niliformat simu hivi karibuni uwenda ndo chanzo..
Card ya mwanzo ilikua crdb
Ilivyogoma jana ndo nimeweka master ya voda nayo inaniambia ads is not active.
Mkuu nimejaribu kila mbinu.
Sijaviolate rules
 
Habarini ndugu zangu.

Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.

View attachment 1757599
Nenda google, search 'Facebook overview'.
Then utaingia na kulog in kwenye account yako.
Ikifunguka tafuta 'business setting'.
Then nenda kwenye 'ad account', hapo ukifuatisha hatua kadhaa utaiactivate, vilevile unaweza ukafungua 'ad acc' nyingine.
 
Facebook ads ndo pia nikiifungua inaniambia maandishi kama hayo hapo.
Niliformat simu hivi karibuni uwenda ndo chanzo..
Card ya mwanzo ilikua crdb
Ilivyogoma jana ndo nimeweka master ya voda nayo inaniambia ads is not active.
Mkuu nimejaribu kila mbinu.
Sijaviolate rules
Hakikisha Facebook Ads inakuwa activated kwa kufuata mlolongo husika. Setup up Facebook Ads kwanza.
 
Nenda google, search 'Facebook overview'.
Then utaingia na kulog in kwenye account yako.
Ikifunguka tafuta 'business setting'.
Then nenda kwenye 'ad account', hapo ukifuatisha hatua kadhaa utaiactivate, vilevile unaweza ukafungua 'ad acc' nyingine.
Asante ngoja nitest hii
 
Hilo tatizo hutokea unapodaiwa na FB, then wanataka kukata hela wa nashindwa.

Hakikisha card yako ina hela kwanza then Fuata ushauri wa mdau hapo juu activate kupitia Facebook kwa account uliyolink na instagram yako itakubali.
 
Kadi ina ela
Alafu pia huwa na promote bidhaa siku moja moja ikiisha nasizi
Au natakiwa kulipia lets say monthly?
 
Hilo tatizo hutokea unapodaiwa na FB, then wanataka kukata hela wa nashindwa.

Hakikisha card yako ina hela kwanza then Fuata ushauri wa mdau hapo juu activate kupitia Facebook kwa account uliyolink na instagram yako itakubali.
Absolutely! Tatizo linaanza hapa then alipojaribu kubadili mfumo wa ulipaji pasi yakufahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom