Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Baba ilham

Member
Dec 19, 2018
24
40
Habari,

Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.

Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?

Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.

Natanguliza shukrani za dhati.
-------

1620192901338.png

Michango ya wadau
Kwa maana ya kutaka kukidhi mahitaji ya soko (demand and supply), eneo unalofanyia biashara ndilo haswa hukupa mwanga wa mahitaji ya mtaji halisi wa biashara kwa kuzingatia mzunguko wa eneo husika.

Ila kwa kuanzia kama una mtaji wa 10M ni nzuri then unaweza kuongeza kulingana na mahitaji ya eneo, kiwango cha usimamizi na uwezo wako binafsi.

Changamoto:
Kwa upande wa changamoto ni nyingi kwa kweli, sisemi hivi kukukatisha tamaa bali ujiandae kuzikabili maana ukiteleza kidogo 'umepigwa'.

Kuna hasara zinazotokana na uzembe wa operator, uwezo mdogo wa mahesabu ya fasta fasta na utambuzi wa tarakimu na kiasi cha fedha, utapeli na ushirikina ni mwingi sana kwenye mambo ya fedha.

Kwa maoni yangu, kama huna operator mzuri ( ni vigumu kuwapata) na uwezo wako wa kumonitor business hii ni mdogo achana nayo.

Ukipunguza pesa kidogo kwenye mtaji unafeel lile gap (panayumba), kwa hiyo pesa unayoi dedicate pale kwa kiasi kikubwa huwezi kuichomoa kufanya jambo jingine kama ilivyo kwa biashara zingine.

Kwa uzoefu, ukizingatia commission ya mwezi na mtaji kwa eneo lililo busy sana, wastani wa profit ni 15% (gross).

Kama kuna fursa nyingine inayoweza kukupa profit hiyo kwa mtaji mdogo zaidi huku ina risk chache na pengine inahitaji minimum supervision ningekushauri uchague hiyo dhidi ya hii.

Benefits:
Ni biashara ambayo inaweza kukupa faida ambayo ni predictable almost kwa kipindi chote cha mwaka, mara nyingi miamala ya fedha ina wateja wengi fixed na wanakuwa ni regular customers, ni mara chache kwa siku kupata wateja wapya kabisa.

Kama uko eneo ambalo ni remote, biashara hii itaku connect na fursa nyingi sana kwa kuwa watu wengi wanaamini (actually wanaziona) pesa ulizo nazo, hivyo wengi watakuletea fursa.

Pia kwa remote areas inakupa dhamana kubwa ya kuaminika, kukopesheka na kudhaminika kwa mambo mengi sana kitu ambacho ni muhimu sn kwenye maisha kumiliki 'ghost capital'.
Working capital kama wakati unafunga hesabu zako jioni itakuwa in form of float basi ni rahisi zaidi, lakini kama utakuwa na hard cash nyingi nadhani utaangalia usalama wa ofisi yako kama unaweza kutunza ndani ama vinginevyo itabidi uzibebe pamoja na POS zako.

Kama uko jirani na branch ambayo inafanya kazi 24hrs (kwa maeneo ya mjini) basi ni vema uka-deposit ukishafunga ofisi kuhakikisha usalama lakini pia itakurahisishia kesho kuanza kazi ukiwa na float asubuhi maana nature ya transaction nyingi ni za kuweka zaidi.

Angalizo:
Pia inabidi kuwa makini sana na wateja wanaokuja mida ya mwisho mwisho kabla ya kufunga, baadhi wanaweza kuwa wezi wanakuvizia kwa hiyo anakuja na cash nyingi then anaweka M-pesa kama haijatosha ataweka na NMB, tigo na airtel ili ahakikishe amekuacha na cash ili wakikuvamia wachukue cash zao bila tabu.

Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
  1. Biashara ya uwakala M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL-MONEY
 
Kwa upande wa changamoto ni nyingi kwa kweli, sisemi hivi kukukatisha tamaa bali ujiandae kuzikabili maana ukitereza kidogo 'umepigwa'.

Kizazi sana bila shaka kila mtu ameelewa kwa ulivyoeleza.
 
Barikiwa
 
Samahani mkuu kwa uwakala wa bank au mpesa.
Ile working capital baada ya kufunga mahesabu huwa inahifandiwa wapi?Je inaweza kurudi kwa akaunti au kila muhudumu anatajua mwenye atakapoisunda.

Maana kuwa na mzunguko wa vyote hivyo angalau kwa siku uwe na kama million 7.
Ninachoongelea hapa ni jinsi ya kuitunza kuepukana na wizi,kuvamiwa ofisi baada ya muda wa kazi au kuviziwa kuporwa.
 
Well
 
Aisee hapo kwenye wezi hadi mwili unasisimka, kwahiyo unakuwa umewawekea kwenye mpesa yao na bado na hizo hard wanazichukua tena🤔 pia nadhani hii biashara inabidi usichelewe sana kufunga jioni kiusalama tu.
 
Aisee mtaji usikupe shida, waza ni eneo gani tu. Kama ni mjini utahitaji mtaji mkubwa kiasi kweli angalau 10 mil ili uwe comfortable. Vinginevyo anza na iliyopo ili ujue kama unahitaji kuongeza au vipi. Changamoto zingine zimesha ongelewa.
 
Working capital kama wakati unafunga hesabu zako jioni itakuwa in form of float basi ni rahisi zaidi, lakini kama utakuwa na hard cash nyingi nadhani utaangalia usalama wa ofisi yako kama unaweza kutunza ndani ama vinginevyo itabidi uzibebe pamoja na POS zako.

Kama uko jirani na branch ambayo inafanya kazi 24hrs (kwa maeneo ya mjini) basi ni vema uka-deposit ukishafunga ofisi kuhakikisha usalama lakini pia itakurahisishia kesho kuanza kazi ukiwa na float asubuhi maana nature ya transaction nyingi ni za kuweka zaidi.

Angalizo:
Pia inabidi kuwa makini sana na wateja wanaokuja mida ya mwisho mwisho kabla ya kufunga, baadhi wanaweza kuwa wezi wanakuvizia kwa hiyo anakuja na cash nyingi then anaweka M-pesa kama haijatosha ataweka na NMB, tigo na airtel ili ahakikishe amekuacha na cash ili wakikuvamia wachukue cash zao bila tabu.
Hapo Kwenye angalizo.... Ndo changamoto kubwa sana ya hizi biashara
 
Kizazi sana bila shaka kila mtu ameelewa kwa ulivyoeleza.
Habari,

Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.

Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?

Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.

Natanguliza shukrani za dhati.
-------

Michango ya wadau

Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
>MPESA
>TIGOPESA
>AIRTEL MONEY
> HALOPESA.
NB malipo ni baada ya kazi
 
Hapo Kwenye angalizo.... Ndo changamoto kubwa sana ya hizi biashara
Yah, kiukweli ni biashara yenye risk nyingi sana na faida yake ni ndogo ukilinganisha na biashara zingine ukiweka mtaji huo huo.

Pia tofauti na kuongeza mtaji (kama mahitaji ni makubwa), there is little you can do to boost the profit, yaani ni biashara ambayo imagine inahitaji wateja wenyewe waongeze rate ya kufanya transactions ili we upate 'matokeo'.

Ndio maana nashauri kama mtu ana other options na ni anayetaka kugrow in business hii biashara sio ideal kwa kweli.
 
Aisee hapo kwenye wezi hadi mwili unasisimka, kwahiyo unakuwa umewawekea kwenye mpesa yao na bado na hizo hard wanazichukua tena pia nadhani hii biashara inabidi usichelewe sana kufunga jioni kiusalama tu.
Yaani wanaweka ili kujihakikishia kwamba wewe wamekuacha na cash ili wanapo kuvamia wawe na uhakika cash unayo wasifanye kazi bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom