biashara

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Samia, piga chini wale wote walioshiriki kuhujumu uchumi, uwekezaji na biashara!

    Msimamo wa Rais Samia Suluhu sasa unaanza kueleweka vizuri. Yale tuliykuwa tukilalamika mitandaoni kutwa kuchwa ameanza kuyashghulikia bila kupepesa macho wala kupoteza muda. Tlilia kuwa kuna juhudi za makhsusu za kwafilisi wazalendo walipa kodi, laki wengine walikejeli na hata Waziri Mwigulu...
  2. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

    Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje. Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
  3. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kufanya biashara ya kukopesha au umeshaanza ila una changamoto? Njoo nikushauri la kufanya

    Kuna watu wanafikiria kuanzisha biashara ya mikopo, wengine wameanza tayari ila wamekutana na changamoto nyingi sana na wengine ila wengine wana maswali mengi hukusu biashara hii Njoo nikushauri namna ya kuanzisha biashara hii na nitakushauri pia wewe ambaye umekutana na changamoto
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

    Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24 Hii itafanya uchumi uende haraka
  5. lucas more

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri Dodoma

    Habari Great thinkers Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc) Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane. Asanteni
  6. J

    JamiiForums Tanzania Combination ya Dr Kimei Waziri wa Fedha na Tarimba Abbas Waziri wa Viwanda na Biashara naikubali sana!

    Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam. Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo...
  7. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani jambo ulipendalo liligeuka kuwa biashara?

    Habari 👋 Kama swali linavyouliza "At what point in time did your hobby turn into a business?" au Ni wakati gani jambo ulipendalo liligeuka kuwa biashara? Binafsi jambo/mambo niyapendayo kugeuka na kuwa biashara ni 2012 ilivyoanza kuonesha mwelekeo. Niseme rasmi 2015 mambo niyapendayo ndio...
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara niliyoiyona kichwani

    Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru. Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo...
  9. GREAT INVESTOR

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 22, nahitaji wazo zuri la biashara kwa mkoa wa Arusha

    Habari wanajukwaa. Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi ya miaka miwili na NGO x hapa Nchini, kutokana na msoto uliopo kitaa niliona ni vyema nijibane niweze...
  10. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Powertiller (kubota) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

    POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
  11. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Biashara yako kupatikana kwenye Directory

    Directory ni Sehemu ambayo inaorodhesha majina ya biashara mbalimbali za eneo husika. Mara nyingi hizi Directory za biashara huonesha Sehemu biashara yako ipo, namba za Simu na tovuti yako. Directory husambazwa Sehemu nyingi tofauti tofauti na hutumiwa na Wafanyabiashara kutafuta wateja na...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mawazo kuhusu biashara ya Bahasha za khaki / Paper Bags

    Habari? Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali. Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2. Kwenye pita pita zangu nimepata wazo la biashara ya bahasha na nika angalia video baadhi Youtube. Nika...
  16. carmel

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Tafadhali wana jamvi, nauliza kuhusu biashara ya dry cleaning, yani kwa mtu mwenye mtaji basic tu wa kuanzia, ina weza kucost shilingi ngapi? Na pia inalipa? Tfadhali, naombeni mawazo yenu maana sina idea yoyote kabisa. Thanks WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO NA...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
  18. samesame

    JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  19. albab

    JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya maji

    Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600. Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii imekaaje wadau nikisema ninunue nipeleke kule kwetu kwenye Jambo, Sequa na Kilimanjaro itakuaje....
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu hawawaamini Waafrika na badala yake huwaamini zaidi Wahindi kwenye biashara?

    DOING BUSINESS IN AFRICA I run a manufacturing business and a trading business. The biggest challenge in my manufacturing business is not power, or infrastructure, the biggest challenge is getting honest staff. Everyone we hire appears to be on a mission to steal as much as possible...
Back
Top Bottom