Nadhani Yanga leo itakaza msuli dhidi ya biashara!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,661
18,035
Leo Yanga almaarufu kama utopolo watakuwa na mechi muhimu na ngumu kwao dhidi ya biashara. Huku wakijua kuwa wakishindwa au kutoka sare itakuwa ndio mwisho wa kuongoza ligi kwa mwaka huu baada ya kesho jioni, nafikiri watakuwa radhi kufia uwanjani ili mradi tu wapate matokeo mazuri.

Kwa hiyo leo mashabiki wa utopolo tarajieni kutabasamu na mmalizie kabisa kutabasamu!! Maana mnamo katikati ya wiki ijayo mtasahau tabasamu jumla!! Wenye ligi yao washarudi!
 
Biashara wazembe, tangia wampoteze kocha wao kwa Kagera wameshindwa kuajili kocha mwingine .
Wasipojiangalia watashuka daraja
 
Kama nilivyohisi ni kweli utopolo Leo kaleta tabasamu kwa wana jangwani. Kwa utopolo kupata pointi zote tatu ni sherehe kubwa sana!! Ni lazima press conference iitishwe!! Angekuwepo Mwakalebela angesema: "Tumeanza ligi" yeyote anayekuja lazima akae!!
 
Back
Top Bottom