Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

Johnson arthur

New Member
Apr 19, 2021
1
20
Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa katika ngazi za IT.

Je, ni biashara gani naweza Fanya ikanipatia walau ada kwasababu ada ni kuanzia laki 6 kwa mwaka na hiyo course ni miaka miwili nawasilisha hata mbele yenu nahitaji msaada kusimama mwenyewe siwezi ushauri wenu huenda ukanitoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine na kazi nyingi ninazozifanya Mimi huwa zinahusiana na technology.
 

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
951
1,000
Mimi nakushauri achana na kusoma IT kama ada ni mgogoro jifunze skills unazoweza ingiza pesa haraka uku unapambania mambo mengine.

Soma Graphic design, copywriting, videography & photography unaweza soma mwenyewe hata online. Ukiwa na hizi skills ni wewe tu sasa uamue ulale njaa au uingize pesa.
 

Gnaber

Member
Mar 24, 2017
25
75
Wahi VETA ukachukue fomu ya kujiunga na mafunzo unayohitaji, serikali imetoa udhamini kwa vijana kusoma mafunzo ya ufundi stadi kwa hiyo utajifunza bure kabisa wakati kukiangalia namna ya kujiendeleza hapo baadae.
 

george kessy

Member
Jun 24, 2017
59
125
Mimi nakushauri achana na kusoma IT kama ada ni mgogoro jifunze skills unazoweza ingiza pesa haraka uku unapambania mambo mengine.

Soma Graphic design, copywriting, videography & photography unaweza soma mwenyewe hata online. Ukiwa na hizi skills ni wewe tu sasa uamue ulale njaa au uingize pesa.
Safi mkuuu huu ni ushauri mzuri kwake ,No body will beat you when u have skills.Mikono isio na ujuzi humfanya binadamu kutapatapa.
 

george kessy

Member
Jun 24, 2017
59
125
Maneno yatakayo andikwa hapa mengi yanweza kuwa yakukatisha tamaa, ya kuumiza na mengi pia yatakuwa mazuri ya kuvutia kiasi kutakuwa na ugumu katika utekelezaji. Kitu moja wapo kwa sasa ni umkumbuke mungu kwa imani yako na kumpa kipaumbele katika fikra zako huku ukiaangalia nini cha kufanya.

Sinza pazuri alirecmnd ya kuwa inabd ua add u skills ambazo zitakuweka sokoni na ww uuze ujuzi huo huko sokoni.Kupata skills kunakufanya uweze kutumikia jamii katika upande fulani.Kiukwel waweza ingia cost lakn its just MB ambapo utapata full knowlegde mtandaoni na kufungua milango yako ya kimaisha hapa bila hata ya kusonga mbele kielimuuni hayo tuu
 

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Wahi veta ukachukue fomu ya kujiunga na mafunzo unayohitaji, serikali imetoa udhamini kwa vijana kusoma mafunzo ya ufundi stadi kwa hiyo utajifunza bure kabisa wakati kukiangalia namna ya kujiendeleza hapo baadae.
Hivi mafunzo yanachukua mudagani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom