Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

DLS

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
245
151
Habari za weekend wanajamvi,

Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau.

Matumizi ya kawaida ninayo lakini nimeona kuiwekeza ni wazo zuri zaidi.

Je , ama niwewe ungefanyia nini?

Nawasilisha.

Zaidi soma:

Hiyo kama hujawahi panga ukiipata utafanyia nini hapo ukiambiwa lakufanyia jua inaendana na mazingira uko mkoa gani,kuna fursa gani nawe waweza fanya ipi kulingana na muda ulionao na uwezo wako.
 
Fungua mpesa tigopesa airtelmoney na halotel tafuta sehemu ya kawaida tu fungua banda la kawaida sana. Au fungua salon ya kike maeneo ya wenye helaaa au fungua duka la kuuza maji jumla na vinywaji utanipa jibu.
 
Fungua mpesa tigopesa airtelmoney na halotel tafuta sehemu ya kawaida tu fungua banda la kawaida sana. Au fungua salon ya kike maeneo ya wenye helaaa au fungua duka la kuuza maji jumla na vinywaji utanipa jibu
Noted boss
 
Hivi Duka la kuuza maji jumla pamoja na vinywaji faida yake ikoje
 
Back
Top Bottom