biashara

  1. dubu

    GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
  2. IZENGOB

    Naomba ushauri: Nataka kufanya biashara ya Radio na TV kutoka Afrika ya Kusini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo? Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k...
  3. Black Thought

    Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  4. 6

    Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN bila kuwa na biashara?

    Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN pasi kuwa na biashara/ kuitumia?
  5. A

    Umuhimu wa video kwenye biashara yako

    Hello mambo vipi.. Guys tuache masiala, if you're serious with your business (no offense) You need to start making video content for your social Media platforms. Video ni noma. Kuna msemo mtakua mmewahi kuusikia. Unasema hivi: A PICTURE CAN SPEAK THOUSANDS WORDS 📸. Ni kweli kabisa. Sasa...
  6. O

    Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

    Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona. Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
  7. tzhosts

    Usichokifahamu kuhusu website na matumizi yake katika biashara

    Watu wengi hushindwa kufahamu kwa hakika faida za kuwa na website kwa ajili ya biashara zao.Matokeo yake wengi wao hujikuta wakipoteza fursa ya kupata wateja na kujipatia kipato au kukuza biashara zao. Katika zama hizi ni bora kampuni yako iwe na website kuliko iwe na physical office.Kwa...
  8. Tripo9

    Biashara yangu changa. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwapata, kuwatumia na kuwalipa vijana wa kusambaza bidhaa

    Habari wakuu. Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake. Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku...
  9. Sami Omary Khamis

    GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE === MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
  10. Shobi

    Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

    Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu. Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
  11. Elisha Chuma

    Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa kuniwahisha mahali mara nyingi nilitumia pikipiki ama jina maarufu boda boda, kitu kilichonifikirisha...
  12. drmaxmhozya

    Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

    Naitwa max Fernandez nipo DSM nahitaji mtu wa kushea naye biashara
  13. kagoshima

    Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
  14. CONTROLA

    Shituka haraka sana unapoona biashara yako imekuwa yebo yebo

    Nawambiaga watu hamna biashara isiyo na faida chini ya JUA yani hakuna,ukiona umefungua biashara halafu wewe huoni faida tambua 1.umekosea location 2.unafungua kitu kile kile ambacho watu wanacho tayari. tukiachana na yote hayo bado biashara inataka uvumilivu 81% unaweza ukakosea location ila...
  15. Tulimumu

    Biashara ya Vyombo vya Habari inadorora na kufa kutokana na upendeleo wa habari

    Biashara ya vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni kwa sasa ina yumba kutokana na uendeshaji wa Vyombo hivyo ambao una walazimisha wamiliki kutoa au kuegemea upande mmoja wakati huko wanako egemea hakuna ruzuku wanayo pata ili kuendesha vyombo hivyo. Kwa sasa kundi kubwa la...
  16. CONTROLA

    Nini kinakuumiza kichwa katika biashara yako/zako?

    Kila mfanyabiashara/mjasiriamali anapoamka asubuhi akashuka kitandani akasimama juu akajinyoosha akagundua yupo fiti kiafya Humshukuru Mungu sana kwasababu sisi wafanyabiashara pamoja na uzoefu wetu ktk biashara,pamoja na mitaji mizuri tuliyonayo lakini BILA afya njema yote hayo = 0. kusema...
  17. Thesmartphone class

    Jifunze kutangaza biashara yako na Facebook ads kupitia app ya simu yako

    Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma itatolewa kwa gharama ya Tsh 1000/= na kutukua na full technical support. Napatika kwa WhatsApp no-...
  18. Mtangoo

    September AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya Mwezi wa tisa kwenye Ask Me Anything Technology and Business (AMATB). Mambo ya kuzingatia katika...
  19. Kichuguu

    Matangazo ya Biashara kwenye TV Tanzania

    Nimeona kama vile makampuni ya kutengeza matangazo ya TV bado hayajapata wataalamu wazuri. Matangazo mengi ya biashara kwenye TV huwa ya kupayuka sana tena kwa sauti za juu sana inabidi mtu upunguze volume. Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?
  20. Moto wa volcano

    Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

    Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop ya kisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi. Mjini Kati nikaona Barbershop matata Full Brand ikabidi nizame ndani nikakutana na vinyozi tukala story mbili tatu baada ya hapo akatokea Dada akanikaribisha katika...
Back
Top Bottom