basi

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Iringa kama CCM mmekosa mgombea ubunge, basi tutamuomba Kasesela agombee akatuwakilishe bungeni

    Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo. Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi. Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi kugombea, niseme tu Iringa hatutarudia makosa kama CCM mmechemka kabisa; hata Salim hana nia ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  3. Viol

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Dada zetu kama mnajua hampo tayari kuwa Mama na hamuwezi kulea basi jichungeni

    Katika hali isiyo ya kawaida kabisa Jana jioni katika Vichaka vya iliyokuwa Tanganyika Packers Kawe aliokotwa Mtoto wa kati ya miaka Miwili hadi Mitatu wa Kiume akiwa ametelekezwa hapo na Mama yake. Najua Polisi ya Kawe inayo tayari hii taarifa kwani Juhudi kubwa zilifanywa na Walinzi Shirikishi...
  5. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa huijui Yanga SC ya GSM, La Liga, Sevilla na Mshindo Msolla basi ni hii

    1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa. 2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club. 3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye...
  6. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi kazi ipo

    Kwamba. Watu ambao wakienda kuoga kwa kuanzia kujimwagia maji kichwani huwa ni Werevu kuliko wale wanaoanzia Mabegani au Miguuni. Unaikubali au unaikataa hii?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za haraka kama Magufuli akiamua kuwabeba wageni, basi CCM asilia wajiandae kutafuta kazi zingine

    Ukijaribu kufanya simple caluculation kwa kuangalia idadi ya wapinzani ambao wamekimbilia CCM kwa imani kuwa wanaweza kuendelea kupata ulaji ndani ya serikali ya awamu ya tano kwa kuwa kule upinzani hawana uhakika nako, utagundua kuwa wamekuwa wengi na huenda wakazidi kuongezeka kadiri siku...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poleni Burundi kwa kumpoteza Rais, japo alikuwa mkaidi kwa Corona ila tu basi

    Haka kaugonjwa hata mimi nilikua nimeanza kuwaiga Watanznia na kulegeza, ila hizi taarifa zimenikurupusha. Huu sio wakati wa kubeza juhudi za tahadhari dhidi ya corona, hiki kirusi kilimlaza waziri mkuu wa Uingereza sembuse maskini wa Afrika, japo hatujajua nini kimemsibu rais wa Burundi ila...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

    Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much. Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taaruki kweli na baadhi ya mambo ulikuwa ukitizama unaona kabisa yanatoka ndani jikoni. Sasa hivi Kigogo kuna...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mbongo akikuambia Lori ya Tandamu basi elewa kama ifuatavyo...

    Anamaanisha lori lenye double trailers (kama unavyoona hapo pichani. Kwa lugha ya kizungu neno hilo TANDAMU ambalo watanzania wengi hasa kwenye sekta ya usafirishaji hupenda kulitumia linatokana na neno TANDEM. Neno Tandem hasa lilianzia kwenye baiskeli za TANDAMU (hiyo pichani) ambazo...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania HABARI MPASUKO: Ajali ya basi imetokea Dar mbezi mwisho.

    Amani kwako. Kuna ajali imetokea Dar Es Salaam pale mbezi mwisho iliyohusisha basi kubwa la kuelekea mikoani. Kinachofuatia. Basi linalojulikana kwa jina la Novo coach linalofanya safari zake za kila siku kutoka Dar kuelekea Kigoma ndilo lililopinduka na katika maeneo hayo ya mbezi mwisho...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimepigika, nimeteswa, nimedharauliwa, nimeumizwa, sasa basi!

    Nimekata tamaa; Nimepigika, nimeteswa, nimedharauriwa, nimeumizwa , sasa Basi ! Ndugu zangu wana MMU kama ambavyo nimetanguliza hapo awali sina namna tena. Dunia kwangu imekuwa chungu mno. Sioni jema wala.zuri katika dunia hii ya wanadamu. Pengine huko mbinguni aliko Mungu. Ili angalau nipate...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

    Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utarejea madarakani. Kama ambavyo Marekani alishaonya kuhusu tume huru ya uchaguzi. 1: Huenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Huenda wanasiasa watakaopigwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama tuhuma dhidi ya Kinana zilikuwa siyo za ukweli basi Msigwa ana uwezo mdogo wa akili. Kama zilikuwa na ukweli basi kuna dili lilichezwa

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nilimsikiliza kwa makini sana ndugu Msigwa wakati akiongea na wanahabari kuhusu kuomba msamaha kwa Kinana dhidi ya tuhuma za ujangili alizozitoa bungeni. Katika maelezo yake, mambo mawili niliweza...
  15. imhotep

    JamiiForums Tanzania Kama uongozi wetu uko imara hivi basi corona haina chance

  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Corona halisi imeishia Ulaya na Marekani tunalazimishwa Afrika tulie kama wao, basi na wao wahamie kwetu ili nasi twende kwao. Magufuli nimekuelewa

    Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita! Denis Mpagaze ___________________________ Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni Kazi gani (Profession) ambayo ukiwa nayo au ukiifanya tu basi tayari umeshaachana kuwa na Mungu na unamtumikia Shetani?

    Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani. Kuna Mtu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Diwani: CHADEMA ni kama basi linalowaka moto abiria tunatokea madirishani

    Hii sasa kali Diwani wa Chadema wilayani Bunda aliyeamua kuachana na chama hicho amesema Chadema ni kama basi linalowaka moto na abiria wameamua kujisalimisha kwa kutokea madirishani. Chanzo: Star tv Maendeleo hayana vyama!
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

    Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
  20. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
Back
Top Bottom