Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,561
2,000

Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake.

Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na familia imebariki.

Chanzo: Clouds TV

Pia soma - Elections 2020 - Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Maendeleo hayana vyama!
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,381
2,000
Tanzania ni pure jungle, Maisha ni rule of the jungle kama vile masokwe na Nyani wanavyoishi, ukitaka kuthibtisha kwamba asili ya Binadamu ni Masokwe na Nyani njoo Tanzania, Masokwe yenye nguvu ndiyo yanayochukuwa wanawake wote kwa kuwapiga masokwe dhaifu, hata Tanzania ni hivyo kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote ingawaje wameshaoa na wana familia, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co. zero morals, ni kama Wanyama tu, ...
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,561
2,000
Tanzania ni pure jungle, Maisha ni rule of the jungle kama vile masokwe na Nyani wanavyoishi, Masokwe yenye nguvu ndiyo yanayochukuwa wanawake wote kwa kuwapiga masokwe dhaifu, hata Tanzania ni hivyo kuna wanaume wengi hawapati wanawake wa kuoa lkn wengine wanachukuwa wanawake wote, angalia Mbowe, Zito kabwe &Co., zero morols, ni kama Wanyama tu, ...
Hahahaaaa....... Kwahiyo Bulembo kaonewa!
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,434
2,000
Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake.

Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto Kabwe na familia imebariki.

Source Clouds tv

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hio amekubali kwamba mwanae alichapwa na zitto
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom