Diwani: CHADEMA ni kama basi linalowaka moto abiria tunatokea madirishani

Watu wote wenye mawenge huwa wanaona vitu ambavyo watu wenye akili timamu hawavioni!!

Mnaweza kukaa na mwenzenu ghafla akakurupuka na kusema "wanakuja hao" nyie mlio timamu mkiangalia hao "wanaokuja" hamuwaoni. Mnafikia hitimisho kwamba mwenzenu ana mawenge.

Kadri CCM kinavyozidi kuwa chama katili na laghai, ndivyo wale wenye wito wa kuwa watumishi wa wananchi ndio pekee watabakia CHADEMA.

Yaani wanaotoka CHADEMA kwenda CCM maneno yao utadhani CHADEMA ndiyo inaongoza nchi!!
 
Hizo fedha ni bora mngenunulia ppe za korona kuliko kuhonga poor diwanis

Bado unawaza mambo ya kuhonga madiwani pesa, kama una elimu ya chuo kikuu basi uli pass kwa kutoa rushwa ya ngono maana hayo sio mawazo ya mtu mwenye akili timamu.
 
Bado unawaza mambo ya kuhonga madiwani pesa, kama una elimu ya chuo kikuu basi uli pass kwa kutoa rushwa ya ngono maana hayo sio mawazo ya mtu mwenye akili timamu.
Wewe unaIQ ya chipanzee
 
Back
Top Bottom