Rejea kichwa cha somo hapo juu chausika.
Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zoote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi...
Basi la Kampuni ya Bilo Sports linalofanya Safari zake za Bukoba kwenda Dar Es Salaam limeshikiliwa na Askari polisi kwa madai kuwa Moja wa abiria wake anahofiwa kuwa na Virusi vya Corona hivyo kwa Muda Wote huo hakuna Abiria aliyeruhusiwa kushuka ndani ya Basi
Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na Madaktari wamejitenga na naturalists, unaambiwa asilimia karibia 100 ya wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible.
Unaambia mazingira ya kijiografia kiuchumi hayaruhusu viongozi...
Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar.
Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
Iringa. Wajumbe wa Baraza maalumu la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nchini Tanzania wamemuondoa madarakani meya wa manispaa hiyo, Alex Kimbe.
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika...
Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Athumani amefariki dunia mara baada ya kukanyagwa na gari hilo katika stendi kuu ya mabasi ya Shinyanga, mwili wake umepelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
Taarifa zinasema kua Basi hilo linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Dar...
Kuna ajali ya basi la MJS Safaris na Lori Semi trela yamegongana uso kwa uso na kuna vifo na majeruhi pia.
Mvua inanyesha sana maeneo haya.
======
Singida: Ajali ya Basi Kampuni ya MJS na Lori la Mizigo Kampuni ya Azam, imetokea leo Sherui na kusababisha majeruhi 6.
Sababu ya ajali ni Lori...
Hii ni zaidi ya hanta virus
Yaan niko kwenye basi tumepaki kama basi sita
Zinapeleka 3000@
Konda anashuka anamwambia dereva ngoja tupeleke 3000 zao
Anafika anakabidhi anaondoka bila aibu kabisa mnatupeleka wapi
Vipi sisi wa magari binafsi mnatuachaje ama ndio mwendo wa 30,000
Mwanamuzi Khamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kupitia akaunti yake ya Instagram, amepakia video na kuweka ujumbe unaosema
Majibu ya vipimo vyangu vya Covid 19 yamerudi chanya. Inaudhi. Siumwi KABISA. Nipo sawa 100%. Na nimejitenga toka niliporudi...
Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa...
Literally nashindwa kuona how a sane person anaweza kuamini kwamba kumpa mtu shs. 2,000= , 3,000/= nk. kwa mwezi inaweza kumuondolea umasikini huyo mpokeaji wa hizo monthly handouts, nisaidieni, how mtu huyu anaondokana na umasikini? HOW?
Lengo la TASAF ni nini hasa?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikikerwa na hili jambo.
Bei ya chakula cha hizi hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa lakini naona mamlaka husika zimekaa kimya. Na hili naomba lisichanganywe na suala la wakulima kujipangia bei, msafiri sio mkulima ni mtu anayekuwa hana...
Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi.
Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara.
Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo)
Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko...
Ninaenda kwenye uchaguzi Mkuu 2020 bila kujua mchango wa Mbunge wangu bungeni.
Bunge live lilisaidia wengi kutathmini japo sio kwa asilimia zote uimara wa Wabunge wetu kifikra.
Awali, aliyekuwa Waziri wa Habari alitoa tamko kuwa Bunge Live muda wa kazi linafanya watu waache kufanya kazi za...
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!
Mimi naona ni vema basi...
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.