basi

  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mbongo akikuambia Lori ya Tandamu basi elewa kama ifuatavyo...

    Anamaanisha lori lenye double trailers (kama unavyoona hapo pichani. Kwa lugha ya kizungu neno hilo TANDAMU ambalo watanzania wengi hasa kwenye sekta ya usafirishaji hupenda kulitumia linatokana na neno TANDEM. Neno Tandem hasa lilianzia kwenye baiskeli za TANDAMU (hiyo pichani) ambazo...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania HABARI MPASUKO: Ajali ya basi imetokea Dar mbezi mwisho.

    Amani kwako. Kuna ajali imetokea Dar Es Salaam pale mbezi mwisho iliyohusisha basi kubwa la kuelekea mikoani. Kinachofuatia. Basi linalojulikana kwa jina la Novo coach linalofanya safari zake za kila siku kutoka Dar kuelekea Kigoma ndilo lililopinduka na katika maeneo hayo ya mbezi mwisho...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimepigika, nimeteswa, nimedharauliwa, nimeumizwa, sasa basi!

    Nimekata tamaa; Nimepigika, nimeteswa, nimedharauriwa, nimeumizwa , sasa Basi ! Ndugu zangu wana MMU kama ambavyo nimetanguliza hapo awali sina namna tena. Dunia kwangu imekuwa chungu mno. Sioni jema wala.zuri katika dunia hii ya wanadamu. Pengine huko mbinguni aliko Mungu. Ili angalau nipate...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

    Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utarejea madarakani. Kama ambavyo Marekani alishaonya kuhusu tume huru ya uchaguzi. 1: Huenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Huenda wanasiasa watakaopigwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama tuhuma dhidi ya Kinana zilikuwa siyo za ukweli basi Msigwa ana uwezo mdogo wa akili. Kama zilikuwa na ukweli basi kuna dili lilichezwa

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nilimsikiliza kwa makini sana ndugu Msigwa wakati akiongea na wanahabari kuhusu kuomba msamaha kwa Kinana dhidi ya tuhuma za ujangili alizozitoa bungeni. Katika maelezo yake, mambo mawili niliweza...
  6. imhotep

    JamiiForums Tanzania Kama uongozi wetu uko imara hivi basi corona haina chance

  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Corona halisi imeishia Ulaya na Marekani tunalazimishwa Afrika tulie kama wao, basi na wao wahamie kwetu ili nasi twende kwao. Magufuli nimekuelewa

    Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita! Denis Mpagaze ___________________________ Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
  8. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni Kazi gani (Profession) ambayo ukiwa nayo au ukiifanya tu basi tayari umeshaachana kuwa na Mungu na unamtumikia Shetani?

    Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani. Kuna Mtu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Diwani: CHADEMA ni kama basi linalowaka moto abiria tunatokea madirishani

    Hii sasa kali Diwani wa Chadema wilayani Bunda aliyeamua kuachana na chama hicho amesema Chadema ni kama basi linalowaka moto na abiria wameamua kujisalimisha kwa kutokea madirishani. Chanzo: Star tv Maendeleo hayana vyama!
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

    Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
  11. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
  12. shakur kimboka

    JamiiForums Tanzania Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo zaidi ya 70% ya confirmed cases za corona virus wagonjwa walipoteza uwezo wao wakunusa na kutest ladha kabla hata ya kuanza kuumwa === UFAFANUZI KUTOKA KWA WATAALAMU KUHUSU DALILI HII Je kupoteza ladha na harufu ni dalili ya coronavirus...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wabunge: Kama mnayapenda maisha yenu basi ondokeni bungeni, sitisheni bunge maana inaonyesha hali huko ni mbaya!

    Nimeambiwa wabunge wanang'ang'ania kuingia ndani ya bunge mtu joto la mwili linasoma nyuzi joto 39 ananyimwa kuingia ndani ya ukumbi bado huelewi anatakiwa afanye nini. Ndani ya bunge maambukizi ya Corona yanashika kasi na bado mnaendelea na bunge. Sisi tusioenda shule tunawashangaa. Hamuoni...
  14. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka huyu Gwiji la Burudani nchini Tanzania analalamika hadi kutia Huruma hivi basi jua kwa wengine hali ni mbaya zaidi

    " Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine wameuza simu ili wajikimu kimaisha " Asha Baraka, Mkurugenzi Bendi ya Twanga Pepeta. Mateso yote haya...
  15. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona vinakufa kwenye miale ya jua hivyo basi msimu wa kiangazi Corona itatoweka?

    Mwanasayansi mmoja nchini Marekani leo Aprili 24 ameeleza kuwa virusi vya corona vinaharibiwa kiurahisi na na miale ya jua hivyo kuna matumani makubwa ya ugonjwa huo (Covid-19) unaoitesa dunai ukaisha wakati wa kiangazi. hata hivyo tayari Shirika la Afya Duniani WHO lilisema mwanzoni mwa mwezi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kitu Watanzania tunakihitaji basi ni maarifa

    Naam, wanajamvi siku tatu za maombi zimeisha Jana. Kama maombi ya waombaji yameswihi hilo litajidhihirisha siku si nyingine kuanzia leo. Ila kwa maoni yangu hayajaswihi au hajapokelewa. Kwanini nasema hivi? Ni ubatili wa maombi yenyewe. Waombaji wengi walimtukuza binadamu badala ya Mungu. Rejea...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukipata ajali na basi la abiria lazima ulipwe na Bima kama ni majeruhi

    Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI. 3. FOMU YA POLISI (PF 3). 4. MCHANGANUO WA GARAMA ALIZOINGIA. 5. PF 90. 6. PF115 7. TIKETI YAKE kama bado anayo...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo, Mpeleke Mahakamani basi unayemshikilia

    Ukiona mama analia mmewe amekamatwa siku ya 7 leo kwa amri ya mkuu wa mkoa Arusha wakati makosa yake hayajulikani ni jambo la kuhoji naomba sana Mrisho Gambo mpeleke mahakamani huyo kada wa ccm apo Arusha unayeshikiliwa bila kujua hatima yake wakati OCD anasema ni maagizo yako.
  19. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka mbali baada ya kusikiliza mapigo haya

  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama sio mama yako, basi ni baba, bibi au babu yako ndo wanajua siri ya hali yako ya maisha

    Rejea kichwa cha somo hapo juu chausika. Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zoote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi...
Back
Top Bottom