basi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mwinyi: Wajumbe wa Zanzibar waliotupigia kura ni 68 hata kama ni kweli wenzangu walipata 35 basi na mimi nilipata 33

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa. Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka...
  3. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea katika soka kwa sasa ni unafiki, kama sio unafiki basi watendaji wanaishi katika hofu isiyojulikana

    INACHEKESHA kidogo. Sahau kuhusu matokeo ya jana Uwanja wa Taifa. Kabla ya mechi wakubwa walitangaza mashabiki 30,000 tu wangeruhusiwa kulitazama pambano la jana wakiwa uwanjani. Ni katika uwanja unaochukua mashabiki 60,000. Kisa? Hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona. Vinatajwa virusi hivi...
  4. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

    Wakuu habari za humu! Wasanii sasa hasa wa Muziki imekuwa sasa sifa ata kama ndo hivyo lakini mfanye kwa kipimo. Nyimbo za kukisifu chama cha CCM zimekuwa nyingi Mno hizo zote kitu gani? Mnatafuta au mmeambiwa mnalipwa, mbona sioni msanii yoyote akiwa amewatungia nyimbo Upande wa pili CHADEMA...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Je Unakumbuka huu msemo kipindi fulani ulikuwa kiki sana Basi leo tuurudie

    Habari Wakuu mko poa, Ipo hivi kulikuwa na misemo tofauti tofauti ambayo kama inafurahisha hivi unasema kitu harafu mbele unaweka kama mstari wa biblia flani hivi, Mfano! " Ndipo Mkuu wa Nchi ile aliposimama na kusema je nikitoka nani! Atayaendeleza mambo haya" Watanganyika 12:14 Unaona...
  6. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi 2020: Ili abiria wasife katika ajali ya ndege basi watengeneze viti vya kufyatuka kama marubani wa ndege vita

    Nimeliwaza wazo hili kwa kina na kuona kuwa ikiwa ndege vita marubani hupona itokeapo ajali kwa kufyatuka na kiti basi ni possible ndege za abiria kuwa na mfumo huo ila wazingatie mwavuli uwe na uwezo wa kuelea katika maji.na pia wapitishe watumishi wa ndege codes maalumu kabla ya kufyatua ikiwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

    Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  9. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

    Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi...
  10. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Huenda Wanawake wengi wangekuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu kama huyu Dada, basi Ndoa zingedumu na Wanaume tungeacha hata Kuwasaliti

    " Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki. globalpublishers Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
  11. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kama hili litakuwa ni la kweli basi sasa naanza Kuamini kuwa Roho Mkatatifu ameshakita Kambi ndani ya TBC

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayoub Rioba amesema chombo hicho cha habari hakibagui chama chochote cha siasa katika kurusha matangazo. Dkt. Rioba amesema kuwa chombo hicho cha umma hakibagui chama bali wanatimiza wajibu wa kuwahabarisha wananchi kama inavyopaswa na sio kukaa kwenye mrengo...
  12. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mbwana Samatta ndiyo basi tena

    Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili: 1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...
  13. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya kiuchumi basi Rais Magufuli aende peke yake, asiguswe

    MH MAGUFULI AENDE PEKEE YAKE, AMEJIONGEZEA SIFA NYINGINE YA KUIONGOZA NCHI KUFIKIA UCHUMI WA KATI. Na Elius Ndabila (Lali Ibaba). 0768239284 Jana nikiwa jijini kwetu, nilisoma twitter ya Mh Rais akitupongeza na kutushukuru Watanzania kwa nchi yetu kutangazwa kuwa kwenye orodha ya nchi zenye...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hivi ile dawa iliyovuma sana ya Ngetwa ilipotelea Wapi watu waliinywa hadi basi

    Tanzania kuna watu wanajua kubuni vitu hewa na kupiga pesa nakumbuka kuna mtu mmoja alikuja na dawa yake inaitwa Ngetwa .Kila kona ya wimbo ulikuwa ngetwa ngetwa maajenti walikuwa kila kona mitaani, maofisini ,makanisani nk ngetwa ilipoteaje Tanzania. Jamaa alipata pesa Sana yuko wapi siku...
  15. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ukijijua kuwa umeharibu katika Serikali ya Awamu ya Tano na unataka kutumbuliwa, basi umwonapo tu Mtumbuaji Mkuu ongozana na Askofu, hakutumbui ng'o!

    " Nimeambiwa hata Mkurugenzi wa hapa ana matatizo ajirekebishe, siwezi nikamtumbua mbele ya Askofu, madhambi yake anayajua ameuza eneo kule, kikao kikakaa na mkataba alisaini kwa Tsh Mil 225 na kwa taarifa za pembeni ziliingizwa Mil 400 " - Rais @MagufuliJP Mzukulu nilikuwa sijui kumbe nchini...
  16. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  17. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi

    Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo. Bila shaka next month(July) bodi ya mikopo wataanza kutoa announcement about uombaji wa mikopo mwaka huu. Hv...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe, kama basi limekuacha chukua pikipiki ufike

    Siwezi kusema kauli ya Father of The Nation Mwl. JKN kuwa mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM, maana hata wakati wa Edo kauli hii ilitamkwa sana na kuaminisha umma kuwa sasa siasa ya Tanzania imepata uhalisia. CCM ni chama chenye mizizi iliyosambaa sana kiasi ukichimba juu juu huwezi kuiona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli ni Bora kuliko Kikwete, Basi naamini ajaye ni bora kuliko Magufuli. Miaka 10 ikiisha aondoke

    Kama baadhi ya watu wanavyoamini kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi na Mazuri kuliko Kikwete, ndivyo hivyo ninavyoamini Mimi kuwa Atakayefuatia baada ya kipindi Cha miaka kumi cha uongozi wa Magufuli kumalizika, atakuwa Bora kuliko Rais wa Sasa na ataifanyia Tanzania mambo makubwa kuliko...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kama hujasoma vitabu hivi basi wewe umekosa utamu wa kusoma vitabu

    Katika nyumba vitu vinavyoibiwa sana na watu wako wa karibu kabisa ni vitabu, kama una shelf ya vitabu kaa mwaka mwaka mmoja halafu ukaikague shelf yako lazima utakuta robo tatu ya vitabu vyako vimeibiwa. sababu kubwa ya wizi huo ni raha iliyomo katika hivyo vitabu. Kwa masikitiko makubwa...
Back
Top Bottom