Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much.

Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taaruki kweli na baadhi ya mambo ulikuwa ukitizama unaona kabisa yanatoka ndani jikoni.

Sasa hivi Kigogo kuna muda anazusha sawa ila kuna muda anaongea ukweli 100%.

Tujiulize nani anampa taarifa? je kama yupo ndani hakuna tatizo? hata kama hayupo ndani je waliopo kama hawana umoja hakuna tatizo? TISS kuna tatizo lazima tukubali kwanza!

Je ni kutokana na "TISS field officer" wakienda na kuleta taarifa hazifanyiwi kazi kulingana na matakwa ya mtu mmoja? Wakipuuzwa wanauza taarifa za usalama?

Pls Diwani rekebisha mambo ingawa its to late! Kwako kuja kutolewa kama Kapilimba kuna viashiria vyote vinaonyesha Idara imegawanyika sana kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru.
 
Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much. Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taharuki kweli na baadhi ya mambo ulikuwa ukitizama unaona kabisa yanatoka ndani jikoni. Sasa hivi Kigogo kuna muda anazusha sawa ila kuna muda anaongea ukweli 100%.

Tujiulize nani anampa taarifa? je kama yupo ndani hakuna tatizo hata kama hayupo ndani je waliopo kama hawana umoja hakuna tatizo? TISS kuna tatizo lazima tukubali kwanza.
TISS kwa Sasa inaendeshwa na jiwe peke yake ,Diwani amekaa tu kama kitumbua,yaani ili ccm isidondoke ,kwa kifupi TISS ni ya chama sio TAIFA
 
Huyu jamaa inawezekana anacheza na akili za watu tu!
Na siyo ajabu ikawa ni mbinu ya hao tiss kuwatafuta wale wanaompinga meko kwa kumtumia huyo mshikaji!
Ipo siku atawageuka wote wanaomshadadia, then ataishia kutukanwa!
Kuna wakati anageuza upepo na kuwafumua akina zitto, mbowe n.k! Hivyo inawezekana yupo kimkakati, na tunavyoaminishwa anatafutwa, ni moja wapo ya mbinu za kutekeleza mkakati mzima!
Huyo ni system kabisa huenda!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtoa mada umejiunga jf Leo nadhan
Miaka ya nyuma siri hapa zilikuwa zinavuja kabla hata teuz baadhi watu walikuwa kabla ya kutangazwa unashangaa tu watu wanashona sare

Miaka ile hotuba ya jk kesho Leo ishajulikana ataongea nini

Mange alitamba sana pia wakati hui Ila huyu kafanya mpaka mange apotee na hakuna siri zinazovuja Saiv ukibisha weka hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom