Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,052
40,715
Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu.

Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja nikajiuliza, ni kwanini basi watu wote tusilazilishwe kuvaa barakoa kwa lazima ili kuziba mdomo na pua?

Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf - JamiiForums

Baada ya Makonda kunisikia na kuweka ulazimanwa kila mwananchi Dar kuvaa barakoa, siku 2 tu baadae tukaanza kusikia Rwanda nao wakiiga kwa kuweka sharti hilo la kuvaa barakoa.

Sasa basi, kwakuwa na macho yanatumika kama njia ya kuambukizana naomba liwekwe sharti la kuvaa ile miwani ya plastiki (clear plastic/glass) kwa kila atakaeenda mjini au sehemu yenye movement kubwa ya watu, na baadae ikishazoeleka iwe ni lazima kwa kila mtu jijini Dar.

Sasa niambe, mtu alievaa barakoa na miwani, anapataje / anaambukizaje Corona?

Natoa wiki moja tu. NB: Sitaongeza muda

5EB8A120-EC80-43B1-BFAA-72B1F7FD07FC.jpeg
 
Tena uvaaji wa barakoa si watu wote wanaovaa hapo dar,juzi Kati nilikuja huko nkastaajabu sana kuona nilikuwa nikiyasikia kuwa dar mtu akiingia mitaani lazima awe na barakoa,lakin nkakuta n baadhi tu wanaovaa sio lazima ni hiyari.ndani ya madaladala niliyashudia hayo.kwenye mikusanyiko hasa pale soko la ndizi mabibo nkaona pia wengine hawana hivo viziba pua,Miwani Tena unayoongelea sijui itakuwaje
 
Tena uvaaji wa barakoa si watu wote wanaovaa happy dar,juzi Kati nilikuja huko nkastaajabu sana kuona nilikuwa nikiyasikia kuwa dar mtu akiingia mitaani lazima awe na barakoa,lakin nkakuta n baadhi tu wanaovaa sio lazima ni hiyari.ndani ya madaladala niliyashudia hayo.kwenye mikusanyiko hasa pale soko la ndizi mabibo nkaona pia wengine hawana hivo viziba pua,Miwani Tena unayoongelea sijui itakuwaje
Na ndio maana umeanzishwa utaratibu wa kuwachapa viboko hasa wale wanaopanda daladala bila barakoa, na utaratibu huu wa kuchapana viboko umesaidia sana
 
Wa
Na ndio maana umeanzishwa utaratibu wa kuwachapa viboko hasa wale wanaopanda daladala bila barakoa, na utaratibu huu wa kuchapana viboko umesaidia sana
Wapite Basi na humo kwenye mikusanyiko mikubwa wasiende kuwachapa bali wakahawamishe uvaaji wa barakoa maana Kuna watu hawajari kabisa hasa waanzie pale mabibo sokoni
 
Kuna baadhi ya watu naona wameanza kuvaa vitu kama helmet za pikipiki au zile za wachomea mageti, ni idea nzuri pia
 
Supply, bei ipoje? Barakoa tu zimewashinda, hiyo miwani mlima mrefu.
Ilipaswa kumzuia adui kuingia, baada ya kuingia tunapiga tu ramli
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu.

Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja nikajiuliza, ni kwanini basi watu wote tusilazilishwe kuvaa barakoa kwa lazima ili kuziba mdomo na pua?

Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf - JamiiForums

Baada ya Makonda kunisikia na kuweka ulazimanwa kila mwananchi Dar kuvaa barakoa, siku 2 tu baadae tukaanza kusikia Rwanda nao wakiiga kwa kuweka sharti hilo la kuvaa barakoa.

Sasa basi, kwakuwa na macho yanatumika kama njia ya kuambukizana naomba liwekwe sharti la kuvaa ile miwani ya plastiki (clear plastic/glass) kwa kila atakaeenda mjini au sehemu yenye movement kubwa ya watu, na baadae ikishazoeleka iwe ni lazima kwa kila mtu jijini Dar.

Sasa niambe, mtu alievaa barakoa na miwani, anapataje / anaambukizaje Corona?

Natoa wiki moja tu. NB: Sitaongeza muda
Wazo zuri lengo ni kuidhibiti covid19.
 
Back
Top Bottom