Kama uongozi wetu uko imara hivi basi corona haina chance

Kama uongozi wetu uko imara hivi basi corona haina chance

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
61,235
Reaction score
98,461
p08dks21.jpg
 
Sisi wananchi tuchapeni kazi
 
Ha ha! So nchi yetu imesimama lkn imejificha kichwa(jiwe yu chato) ndo tuko imara mkuu..
Hujui huko aliko ndo mizimu ya kuteketeza ilipo..
 
Tumeiachia mizimu ya chato ituvushe
Lkn mkuu sisi tunaafadhari maana wengine hata hawajasimama kwa kichwa na wamejificha vichwa!,utabidi wamuige the John hakuna namna sasa..😅
 
Lkn mkuu sisi tunaafadhari maana wengine hata hawajasimama kwa kichwa na wamejificha vichwa!,utabidi wamuige the John hakuna namna sasa..😅
Lakini kwa approach hii kama ndio ingekuwa Ebola? Weakness kubwa sana katika uongozi wa Jpm
 
Lakini kwa approach hii kama ndio ingekuwa Ebola? Weakness kubwa sana katika uongozi wa Jpm
Ebola tunaijua mkuu ile ni hakuna kulala!
Unafikiri mifano hatujaiona kule magharibi mwa Africa na hapa kwa jirani zetu..??
We hukumsikia mkulu akisema korona si Ebola! Kwa maana hiyo anaijua Ebola ni moto ulao..😅
 
Back
Top Bottom