HABARI MPASUKO: Ajali ya basi imetokea Dar mbezi mwisho.

HABARI MPASUKO: Ajali ya basi imetokea Dar mbezi mwisho.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,265
Reaction score
25,539
Amani kwako.

Kuna ajali imetokea Dar Es Salaam pale mbezi mwisho iliyohusisha basi kubwa la kuelekea mikoani.

Kinachofuatia.
Basi linalojulikana kwa jina la Novo coach linalofanya safari zake za kila siku kutoka Dar kuelekea Kigoma ndilo lililopinduka na katika maeneo hayo ya mbezi mwisho.

Taarifa za abilia waliokuwemo kwenye basi hilo wote wapo salama na wametolewa na kuondolewa eneo hilo.

Stay tune.
 
Duh pole kwa waliopata madhara tuletee habari zaidi kadri utakavyozipata.....
 
Back
Top Bottom