Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,981
14,749
Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..

So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,


94443861_1107596089616887_4314303565184106496_n.jpg


95125762_280546476280188_7668589340217311232_n.jpg


94658162_1085087611859234_1859997709939769344_n.jpg


94640992_1369527053242280_3872161180554362880_n.jpg


95222650_593717371505998_2662903105321959424_n.jpg
 
Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake


Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hivi unajua hili ni jukwaa la nini?
Je wewe unahisi kumjadili mtu kwa mafanikio aliyofikia ni dhambi?
 
Namuonea sana huruma Diamond Platnumz. Anajaribu kuprove point kwa watu ambao hawako kwenye mashindano nae. Jamaa akifilisika hapo mbele sintoshangaa. Eti hoteli Mikocheni🤣🤣🤣. Aya bana!


Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hawezi kufilisika yule, Hotel Mikocheni atapiga hela mzee maana jina tu ni brand tayari, atapiga hela kwenye hiyo hotel hadi mtashangaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom