bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    s
  3. S

    JamiiForums Tanzania Simba wanajaribu kulazimisha tuamini kisaikojia kuwa Yanga hana nafas, ila wanasahau wao walifungwa mechi mbili na bado wakafika robo fainali

    Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu. Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

    Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
  6. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

    Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai. WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana. Hii nayo imewapa mashaka. 👇
  7. JamiiForums Tanzania Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

    Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography. Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English. Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher... Walimu Wao...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi "Bush" bado anafanya kazi Bodi ya Mikopo?

    Kuna dogo anazinguliwa kuhusu mkopo nauliza hivi bush bado yupo bodi ya mikopo? Halafu please mnaweza kunikumbusha jina halisi la Bush? Watoto wa udsm 2006- 2010 msaada wenu please.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  11. JamiiForums Tanzania Kweli uchawi upo kwenye mpira, awa Jwaneng walimfungaje Wydad? Licha ya kukutana pipa na mfuniko bado simba ni wale wale tofauti ni kocha tu!

    Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani! Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
  12. JamiiForums Tanzania Wastara Juma na huyu jamaa wa Keshas Salon nini kinaendelea kati yao ,maana huyu jamaa ni hatari skendo yake bado ya moto

    Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada (Keshas Saloon). Huyu jamaa bwana kazi anazofanya 100% zinahusisha kuwavua nguo zote akina dada eti...
  13. JamiiForums Tanzania Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya. Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma...
  14. JamiiForums Tanzania Akina Cadena na Matola bado wanawachosha wachezaji na mazoezi ya under 18. Kocha mpya hajaanza program. Tunapoteza mechi ijayo pia

    Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa. Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

    Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi. Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo. Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa...
  16. JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Corona bado ipo?

    Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali. Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

    1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima). 4. Kupotea njia...n.k Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  20. JamiiForums Tanzania Vitu kadhaa bado vinawatesa watu wa mkoa wa Kigoma, hili ni swala la Uraia

    Ni wakati wa kubadili mwelekeo kukomesha ubaguzi wa kimfumo, ni muhimu kwa nchi kupitisha "ajenda maalum ya mabadiliko ili kung'oa ubaguzi wa kimfumo juu ya ukiukaji wa haki za kibinaadamu, kiuchumi, kijamii, kitamaduni, kiraia na kisiasa unaowakabili watu wa asili ya mkoa wa Kigoma. Mijadala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…