Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,609
17,813
Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali..

Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.

20240301_221101.jpg
 
Nchi za dunia ya tatu, usicheze na aliyeshika mpini ukiwa umeshika makali utaumia tu........
Soon wataanza kulia.
Na hii haihusiani na nani yupo right, nani ypo wrong.
Ila namjua atakayelia ni nani mwisho wa hili game.
Swali ni kuwa Kuna shida gani hapo kuna nini kwanini Inatumika Nguvu nyingi sana?

Kwanini tusijadili hicho.kitita kuliko kutumia Nguvu?
 
Hospitali binafsi ziache uhuni. Kimsingi serikali yenye ndio ilianza kudekeza haya mambo baada ya wakwepa kodi wa kariakoo kutishia kufunga maduka. Ikamlazimu waziri mkuu kusimama masaa kadhaa akiwasikiliza. Wakatoa madai yaonwaendelee kukwepa kodi.

Madawa yameteremka bei kutokana na sababu mbalimbali unalazimishaje bei iwe ile ile? Mbona madawa yaliyopanda bei hawasemi. Kumwona daktari hawasemi. Zamani kuosha damu ilikuwa 500,000 leo 150,000 wanataka ibaki 500,000?.

Waacheni wasipokee wagonjwa wa NHIF. Hospitali za serikali ni nzuri sana kwa sasa. Nashangaa watu wanaenda hospitali binafsi.
Daktari yule wa hospitali binafsi anatoka hospitali ya serikali. Akifika hosp binafsi, kumeona ni mara 2 ya hosp ya serikali. Amepandaje bei wakati kichwa ni kile kile?Halafu mnalia lia tengenezeni madaktari wenu.
 
Mkuu hebu niambie dawa gani iliyoshuka Bei..
Nipo tayari kusikiliza na kujifunza na kujua pia hizo dawa zilizoshuka na kuteremka bei sokoni
 
Lakini kipindi wanapiga haikuwa fadhila ilikuwa ni Halali yao kwa sababu waliuza huduma na bidhaa
Basi wajaribu kuendana na matakwa ya mikataba yao kama ikishindikana wafunge tu. Niliskia pahala walikuwa wanasema polyclinic binafsi zimekuwa nyingi, watu wa sera wanajaribu kuzipunguza maana tusiwe waongo NHIF imewatajirisha wamiliki wengi wa hospitali binafsi.
 
Haijawatajirisha ila wagonjwa ndo wanaenda sana na wao wanatoa huduma hizo..

Tatizo mnavoliweka ni kama Walitakiwa kutoa huduma Bure..
Kuna Vitu tunachanganya kuna FBO ambazo ni Non profit na kuna Private ambazo hizo ni profitable..
 
Back
Top Bottom