Kwa vigezo hivi bado sitotoboa UN agencies?

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,196
2,758
Wakuu nina Bachelor ya agribusiness saizi nipo namalizia
masters ya project management

skills &packages nilizonazo
• advanced excel,spss,word,power point
•Valid driving licence
.Report writing skills
•business plan
•Passport
•Research proposal
•communication skills

niongeze wapi niweze kuajirika huko?
haya mashirika UNDP,FAO,IFAD,WFP NK natamani sana kufanya kazi huko
 
Wakuu nina Bachelor ya agribusiness saizi nipo namalizia
masters ya project management

skills &packages nilizonazo
• advanced excel,spss,word,power point
•Valid driving licence
.Report writing skills
•business plan
•Passport
•Research proposal
•communication skills

niongeze wapi niweze kuajirika huko?
haya mashirika UNDP,FAO,IFAD,WFP NK natamani sana kufanya kazi huko
Advanced Excel iko vizuri kweli?

Siku hizi naogopa kuzungumzia Excel baada ya kugundua niko mweupe pee sana.
 
Sikia nenda katika Careers portal zao ufungue Account, huwa wana tangaza kazi kwa watu wenye zero experience ila sifa uwe fresh from College, upo mwaka wa mwisho au hauna mwaka tangu umalize chuo...
UNHCR, WFP na wengine huwa wanatoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom