Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Najua kuna watu watabisha sana ila mwanaume hata kama mwanamke wake ageuze mahaba na yawe kama ya wacheza pornograph lazima tu mwanaume atafata tu hurka yake ya kucheat.
Hata kama bado aoe wake 10, bado tu atatafuta sexual pleasure kutoka nje.
Mwanaume ana cheat ili apate comfort tofauti na aliyoizoea kutokana na mahangaiko yake ya kimaisha, mwanaume anacheat ili atimize sexual fantasies zake kwa maana wanaume tunafikiria sana sex kuliko wanawake ndio maana hata kuna waume za watu wanapost picha huko jukwaa la warembo, etc
Ila mwanaume acheat kwa sababu eti amechoka mapenzi ya mke wake, acheat kwa sababu ameacha kumpenda au kumthamini mke wake.
Ndio maana nikasema kucheat sio asili ya mwanaume, ingekuwa ni asili yake asingehangaika kuoa. Kucheat ni hurka yake ambayo haibadirishi asili yake ya kufata misingi yake ya ndoa ya kuthamini mke wake na watoto.
Ukiona sasa mwanaume eti ameanza kucheat hadi sasa amehamisha fikra, nafsi na roho yake kwa awala zake/yake basi tambua hio sio kawaida kuna kitu nyuma ya pazia.