Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,000
45,511
Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali.


Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali.

Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia wito wako anza kuifanya hiyo kazi kwa level uliyopo Ridhaa - ridhaa utaipata baada ya kufanya chaguzi kuwa unataka kuwa nani. Baada ya hapo utapata kibali.

Mchakato wa kupata kibali utaanza na wewe kwa kutoa kibali kwa watu, mfano kumuinua aliyepo chini, kusaidia n.k. Ulimwengu huwa huwa unakumbuka kila kitu/

Kabla ya kulalamika maisha hayatembei, kwanza hakikisha unatafuta kibali kwa kufata mchakato mzima.

Remember, "Your input determines your output".

Do your best, work smart, maisha ni kitendo cha kimchakato zingatia MTU wako wa kwanza unayekutana naye eneo lolote jipya ndo ataamua wewe utafsirike Kama nani hapo baadae.

Maisha ni kibali
 
Back
Top Bottom