bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Paul Clement: Bado Naishi. Sikiliza ubarikiwe

    ....
  2. W

    JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

    1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAWA: Bado tunachunguza tukio la Muwindaji kuua Mamba

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema inaendelea na uchunguzi kuona kama kuna ukiukwaji wa Sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania mwenye rekodi ya dunia na kuleta taharuki. Taarifa ya TAWA...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kilo 3000 za madawa ya kulevya zakamatwa..shikamoo kamishna na bado watasema wametesa sana watu

    Hongerasana mh kamishna lyimo kwa kazi nzuri................... Naangalia itv hapa naona mamlaka yetu wamekamata madawa ya kulevya kg 3000 Kamishna lyimo amesema mtandao waliokamata n mkubwa anafurahi kuona kile walichokitafuta wamekipata Mh lyimo anasema atapambana na mapapa mpaka huu...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  8. Championship

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

    Hapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Technologically Tanzania bado tupo nyuma sana, ni kama vile tupo 1990s

    Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet. Luku za umeme...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mahakama ya mafisadi iliyokuwa pale Mawasiliano bado ipo? Imefanya kazi kwa mwaka 2023 mbona hakuna kesi iliyoripotiwa kutoka ukanda huo?

    Magufuli aliamini mapambano dhidi ya rushwa ni kuunda mahakama maalum. Lakini alisahau kwamba wala rushwa na watoa rushwa ni watawala na siyo wananchi. Wakati anatawala watawala waliokuwa wanapelekwa mahakama ya mafisadi ni wale waliokinzana kimtazamo na yeye na utawala wake. Kwa bahati mbaya...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

    Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado. Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Papa Francis anawaandalia watoto na wajukuu SODOMA? Kwa nini hakuonyesha huu msimamo wake ujanani? Bado anabaki kuwa mtakatifu?

    Papa kwa sasa ni mzee sana, anapaswa kuepuka kuweka misingi ya kesho ya Dunia hasa pale anapotakiwa kutoa msimamo wake kuhusu mambo yenye utata. Naamini wapo watu wanatumia vibaya uzee wake. Wapo watu ndani ya Vatcan wana ndoa wanatafuta msamaha wa Mungu kwa kuweka misingi ya kubarikiwa kwa...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

    Jana Arusha kutwa nzima hakuna umeme,usiku umeme ulirejea saa 7 asubuhi saa 1:43 wamekata. Tumeshindwa kupasi nguo,vyakula kwenye fridge vimeharibika,tumelipia Dstv full package hatuna tunaweza kutazama. Kipindi kuelekea Christmas 🎄 majumbani ukiwa mtupu. Tunajuwa Makamba alihujumu TANESCO...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Wapalestina vimepitiliza 20,000 na bado kipigo kinaendelea

    Sijajua Israel wanataka kuua wangapi ili uwiane utimie... At least 20,000 people have been killed in the Gaza Strip since Israel began bombarding the enclave more than 10 weeks ago, according to Palestinian officials. At least 8,000 children and 6,200 women are among those killed, Gaza’s...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  16. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

    Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit. Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania TANESCO bado shida ni kubwa sana, wiki 3 transformer imeungua haijabadilishwa

    TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 62 ya Uhuru na 59 ya mapinduzi PEMBA bado ni kitovu cha umaskini Tanzania ; tatizo ni nini?

    Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna...
Back
Top Bottom