Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,144
4,493
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook

Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa

Kuna kitu wenzetu wametuzidi ukiingia wapo siriazi sana hasa kwenye group zao za Facebook kama group linahusu matangazo ya kazi ukipost kitu ambacho hakihusiani admin ataondoa tangazo lako ikiwezekana ata wewe utaondolewa haraka sana

Kilichofanya niandike thread baada ya kujiunga group za wabongo na kili kuna ujinga mwingi sana
Leo hii nimeona jina la group nikavutiwa nalo linaitwa
Computer science and IT
Cha kustaajabu kuingi nakutana na matangazo ya simu na electronics
 
Kwa Bongo Bado sana, wajinga, watukutu hawaishi, unawakuta pia kwenye makundi mitandao ya kijamii, wap ni kuposti "mauzauza" tu.
 
Binafsi niliacha kutumia fb 2013 hv kwa kukosa interested na huo mtandao Ila sio kwamba nna udharau huo mtandao, wengi wanaodharau huo mtandao ni wale wanaojifanya much know Ila kichwani ni maji tuu
 
Back
Top Bottom