Ligi ya Tanzania inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado

Attelan

JF-Expert Member
Oct 12, 2023
433
697
Ligi ya bongo inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado.

Ukibisha uje na detailed fact!
 
Sasa ulitegemea wasajiliwe kutoka huko nje kisha waje kuishusha ligi yetu?
 
Sasa ulitegemea wasajiliwe kutoka huko nje kisha waje kuishusha ligi yetu?
Argue kulingana na muktadha wa mada na sio kujadili kitu ambacho nimekiweka kama fact! Soma taratibu
 
Back
Top Bottom