askofu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Tujiepushe na mabaradhuli

    Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo. Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kutoka Kanisani hadi CHADEMA na sasa CCM akielekea bungeni ili kazi iendelee!

    Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha Wananchi wa Kawe. Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea. Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa...
  3. thetallest

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Siasa ni mchezo mchafu hivyo viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo

    Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dr Shoo amewaasa viongozi wa dini kutojifungamanisha na siasa kwani siasa ni mvhezo mchafu na viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo. Askofu Shoo amefafanua kuwa hata hivyo hiyo haimaanishi viongozi wa dini wakae mbali sana na siasa bali wawe washauri...
  5. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Askofu hawezi kumtetea Rais kwa kuwa yeye anatetewa na Vyombo vya Dola

    Ninapenda kuwashukuru wote wanaonifuatilia katika ukurasa wangu. Wapo watu wanaouliza ni kwa nini Askofu haonekani kumtetea Rais Magufuli anapodhalilishwa mtandaoni lakini anaonekana kuwatetea zaidi viongozi wa vyama vya upinzani pamoja na makundi mengine yakiwemo ya wanaharakati na wanahabari...
  6. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Nikifa kwa ajili ya mapambano ya haki msinililie, bali muenzi na kuendeleza niliyofanya na kuyasimamia

    Nikifa kwa ajili ya mapambano ya haki msinililie, bali muenzi na kuendeleza niliyofanya na kuyasimamia. Naona si salama na si haki kufikia bei na kutelekeza mapambano (Zaburi 35)! If I die for this cause [justice] do not eulogise me, but cherish what I did and stood for! For it is neither safe...
  7. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Juhudi za kutaka kumnyamazisha Askofu Mwamakula na Kanisa analoliongoza. hazitafanikiwa!

    Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula ni Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na pia ndiye Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani (World Fellowship of Moravian Revival Churches - WFMRC) ambapo alichaguliwa katika nafasi hii mnamo...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA

    Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA. Inaonekana viliingia nchini tarehe 27/7/2020 kupitia jiji la DSM. Madaktari wanadai dalili za...
  9. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Kalikawe Bagonza: Uongozi na Uwanaharakati bahati mbaya unafunikwa na Propaganda za Kuelimishana

    UONGOZI na UANAHARAKATI Kuna mjadala mzuri unaendelea kuhusu UONGOZI na UANAHARAKATI. Bahati mbaya unafunikwa na propoganda na kupoteza fursa ya kuelimishana. Wapo wanaoponda uanaharakati kwa kudai wanaharakati si viongozi. Kundi la pili linatukuza uongozi kuwa hauna uanaharakati. Mimi...
  10. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Togo ni miongoni mwa watu waliokumbwa na udukuzi uliofanywa katika Mtandao wa WhatsApp

    Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Askofu Nyaisonga: Kukiri kwa Mkapa kwa aliyokosea ni ishara ya unyenyekevu

    Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea wakati wa uongozi wake akiwa Mkuu wa nchi katika kitabu chake cha ‘My life My Purpose’ ni ishara ya unyenyekevu na kumpenda Mungu. Askofu...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

    Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia. Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
  14. dosama

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka

    "Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka. Ili kutumia mabavu ni sharti utu uwekwe pembeni na unyama uvaliwe"-Askofu Bagonza #ChangeTanzania
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  16. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

    Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa. Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka. Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Facebook wafuta uzushi wa askofu Josephat Gwajima kuhusu COVID 19 aliokuwa ameuandika kwenye ukurasa wake ndani ya mtandao huo

    Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali. Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

    Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika. Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk. Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nilimwelewa Askofu Mwamasika wa KKKT alipojiuzulu Ubunge na kugombea Uaskofu, ila Gwajima amenichanganya

    Kiukweli wakati ule Mbunge wetu mchungaji Mwamasika alipojiuzulu Ubunge kwenye Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na kwenda kugombea uaskofu wa KKKT nilimuelewa sana. Na alipokuja kwetu wananchi kutueleza kwanini anaacha utumishi wa umma na kwenda kuitumikia mamlaka ya juu zaidi kiroho...
Back
Top Bottom