Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,653
218,142
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.

Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University chenye makao makuu yake nchini Afrika Kusini.

Askofu Gwajima atunukiwa PhD (Doctor of Philosophy)

ZAIDI SOMA:
= > Uchaguzi 2020 - Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe


GWAJIMA AJITOSA RASMI KAWE  Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajim ( 474 X 640 ).jpg
 
Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
 
Back
Top Bottom