Askofu Bagonza: Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
"Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka.

Ili kutumia mabavu ni sharti utu uwekwe pembeni na unyama uvaliwe"-Askofu Bagonza #ChangeTanzania
 
Mzee anatumia nguvu kubwa ili aonekane anapendwa, ana kuwa na hasira sana pamoja na sifa zote za wateule wake lakini wananchi hawa mkubali.
 
Back
Top Bottom