Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Ludovick Joseph Minde, ALCP/OSS kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Moshi, nchini Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Askofu Ludovick Joseph Minde alikuwa ni Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama. Itakumbukwa kwamba, Askofu Minde alizaliwa tarehe 9 Desemba 1952 kwenye...
Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo
KUNYAMAZA WAKATI MWINGINE NI HEKIMA
Waungwana taifa la Mungu, someni hii kwa furaha na uvumilivu.
"Ikawa, Sauli aliporudi baada ya kuwafuatia Wafilisti, aliambiwa ya kwamba, Daudi yuko katika nyika ya Engedi. Ndipo Sauli akatwaa watu elfu...
Wana jamii nimetafakari hiki kitu nimeona sio vibaya kama tukashare mtazamo na wanazengo. Ndugu yetu mwandishi nguli humu ndani aliwahi kupost nyuzi moja kuhusu Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda kuwa anafaa ama anaweza kuja kuwa namba moja wa nchi yetu kwa siku za usoni baada ya huyu wa...
Anaandika baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____
"Utusamehe Makosa Yetu"
Mwezi Machi mwaka 2017 Baba Mtakatifu, Papa Francis, katika ukuu wake na nafasi yake katika Kanisa, alichukua wajibu wa kuomba msamaha kwa ajili ya mauaji ya kimbari (genocide) ya...
Askofu Mkuu, Mheshamu Nyaisonga. Hii ni barua yangu ya wazi kwako ikiwa imebeba kichwa cha habari tajwa.
Napenda kujitambulisha kwako kama raia wa kawaida ambaye ninajali sana jinsi ninyi viongozi wetu mnavyoshiriki masuala ya kila siku ya Taifa letu.
Jana nimesoma juu ya mahubiri yako kwa...
Nimesikiliza mahubiri ya Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tz,Mhashamu Askofu Nyaisonga, ameelekeza lawama zake katika vyama vya upinzani,akijenga hoja kuwa havikutumia busara na elimu katika kufikiri na kujitoa katika uchaguzi.
Amehimiza kuwa kujitoa sio suluhu,wanapaswa kukaa...
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za...
Jina la Askofu Simon Chiwanga (81) si geni masikioni mwa wengi, hasa waliokula chumvi kiasi.
Aliwahi kuwa mwalimu, mwanasiasa na mjumbe wa kamati kuu CCM, Mkurugenzi Shirika la Elimu la Kibaha na amemaliza utumishi akiwa Askofu wa Kanisa la Anglikana akiwa ndiye mwanzilishi wa Dayosisi ya...
Ameandika Baba AskofuKalikawe Lwakalinda Bagonza
#TUJIULIZE ZAIDI
1. Hivi Chadema wamejitoa au wametolewa?
2. Hivi Chadema wamesusa au Wamesuswa?
3. Hivi Chadema Wameacha au Wameachwa?
Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu.
- Media haiko na wapinzani...
Askofu Kakobe amesema anabarikiwa sana na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu na kwamba Rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli.
Kakobe amesema watu wenye hulka ya kufanya kazi kwa uzalendo uliotukuka aina ya Dr Magufuli ni wachache sana barani Afrika na sisi kama taifa hii ni neema.
Askofu Kakobe...
Taarifa kutoka KKKT Dayosisi ya kusini magharibi Magoye, zinadokeza kuwa aliyekuwa askofu wake Tito Job Mbwilo ameshindwa kutetea kiti chake baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi uliofanyika 25 Octoba 2018
Aliyechaguliwa kwenye uchaguzi huo ni mchungaji Mlimitsi Nguvila ambaye kwa sasa anakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.