askofu

  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ni Nyerere tu!

    NI NYERERE TU.. Leo ni siku ya NYERERE. Jina hili ni fursa kwetu sote. Amani na umoja wetu ni matunda ya ubongo na mikono yake. Mapema mwaka 1996 nilifika Kijijini Butiama kwa kazi maalum ya maandalizi ya masomo yangu ya juu nchini Marekani. Majira ya saa 4 asubuhi nilipokelewa na...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Anayetugawa hawezi kutuunganisha

    Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani. Tofauti ya rangi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

    Katika muendelezo wa hali inayoonyesha kuwasikitisha sana wananchi juu ya uonevu na unyanyaswaji wa dhahiri anaofanyiwa mheshimiwa Lissu nchini. Baada ya Ndugu Lissu kuzuiliwa kuendelea na safari yake ya mlandizi kinyume cha haki yake ya kikatiba, Askofu Mwamakula amekwenda eneo la tukio hapo...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Waraka kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe, Bibi Rose Mayemba kwenda kwa Askofu Mwamakula

    WARAKA KUTOKA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA NJOMBE, BIBI ROSE MAYEMBA KWENDA KWA ASKOFU MWAMAKULA. Hello Bishop! Heshima yako! Ninaitwa Rose Mayemba, Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe. Leo tarehe 3 Septemba 2020, tumetoka gerezani hapa Njombe ambako tulikwenda kuwasalimia wenzetu, story zao zinatisha...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Heshima sana wanajamvi. Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa, kikongwe, kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika...
  6. Moto Ulao

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

    Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa...
  7. Winning Team

    JamiiForums Tanzania Nimemuota leo Askofu Gwajima naomba mnisaidie maana ya ndoto hii

    Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuhadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo. Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne...
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi maalum kwa Muhashamu Askofu Bangoza, PhD

    Baba Askofu, Nimesoma nyaraka zako nyingi unazozitoa kwa kwa Watanzania wote. Kimsingi, ujumbe wako ni fikirishi, thabiti na hitimishi. Thamani ya ujumbe wako ni wa-kiungu unaoishi na kubeba kweli isiyopingika. Kwakuwa wewe ni mtumishi wa Mungu na hakuna shaka Mungu anafanya kazi ndani yako...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Kumnyamazisha anayekemea wizi wa kura ni kujitangaza kuwa mwizi

    Kuna wanasiasa lakini hawaijui siasa. Wanaitwa wanasiasa kwa sababu wako kwenye nafasi za Kisiasa. Kuna watu si wanasiasa lakini wanaijua siasa. Hawako kwenye nafasi za Kisiasa lakini ni watu muhimu katika kuboresha maisha ya Kisiasa kwa sababu wanaijua siasa. Pima joto la Kisiasa hapa nchini...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

    Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake. Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. EastAfricaTV Ngojeni sasa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe: Askofu Gwajima (CCM) atakuwa Tanganyika Packers na kundi la wasomi na wasanii wote wa Dar

    Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui. Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli. Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena! Maendeleo hayana vyama!
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  14. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Dah! Kanisa litammiss Askofu Gwajima katika doctrine ya wokovu

    Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye. Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

    Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge. Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Nimefanya utafiti wa soko la almasi na Tanzanite huko Ulaya, tumeibiwa sana Rais Magufuli ni Mwokozi

    Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu. Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania. Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
  17. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

    MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

    Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii. Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha. Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa? Majibu...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

    Hakika furaha imetoka moyoni. Upendo usiopimika!
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
Back
Top Bottom