askofu

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee aache kumnenea mabaya Askofu Josephat Gwajima, akikaidi atapata laana!

    Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima. Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

    Heshima sana wanajamvi, Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe. Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe. Vijana wote wa Kawe wajiandae kuvua samaki katika Bahari kuu ya Hindi.Hii ni habari njema hasa vijana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiwasikiliza kwa makini sana Tundu Lissu na Askofu Gwajima utaona dalili zote za mwisho wa Ulimwengu huu

    Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya. Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa. Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. _____ 1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM. 2...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Ndege, Treni na Machine ya kufua umeme ya Askofu Gwajima alivisimika wapi, chuo cha marubani Jem hiyo ilikuwa 2017

    Wana JF, Ukitaka kujua aina za wachungaji tuliona basi unasubiri tu mudam ahadi lukuki za Askofu gwajima sijawahi ona hata mojam alisema atafungua chuo cha marubanim watu waje kujifunza kuendesha ndegem Alisema mwakani ataingiza machine za kufua umeme ambazo zitamaliza kabisa tatizo la umeme...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza aitaka NEC isitumike kudhulumu Watanzania

    *Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:* NEC WAHURUMIENI WANANCHI NEC WAHURUMIENI VIONGOZI. Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu. 1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
  8. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  9. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula: Tuhuma kuhusu njama za kutaka kuhujumu maisha ya mheshimiwa Tundu Lissu zisipuuzwe

    TUHUMA KUHUSU NJAMA ZA KUTAKA KUHUJUMU MAISHA YA MHESHIMIWA TUNDU LISSU ZISIPUUZWE! Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu jana tarehe 5 Agosti 2020 aliwaambia maelfu ya wakazi wa Mbeya kuhusu vitisho alivyopokea kuhusu njama za kutaka kuihujumu Ndege anayotumia...
  10. BAK

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Bagonza: Wagombea Mtukemee

    WAGOMBEA MTUKEMEE Katika hali ya kawaida, Vijana huwazika wazee. Katika hali isiyo ya kawaida, wazee huwazika Vijana. Katika hali ya kawaida, Viongozi wa dini huwakemea Wana siasa. Katika hali isiyo ya kawaida, Wana siasa huwakemea Viongozi wa dini. Tuna hali isiyo ya kawaida katika taifa...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Madaraka hayaondoi udhaifu. Madaraka si chanjo ya kuzuia kufanya makosa

    Ujumbe wa baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____________________ Mwaka 2015 hatukuchagua malaika kuwa serikali. Tulichagua watu wenye ubinadamu. Watu hao na udhaifu wao wakaunda serikali. Serikali iliyoundwa na binadamu dhaifu, haiwezi kuwa takatifu kama...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    WITO KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUKUTANA NA CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUTATUA TATIZO LA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA. Tarehe 29 Agosti 2020, nimetoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kukutana na Uongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo kwa lengo la kuzungumza na kutatua tatizo la kuenguliwa kwa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpaka sasa nafikiria Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe baada ya kuitwa Mrembo

    Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara. Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita Askofu...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Unaodaiwa kuwa “Waraka wa Shura ya Maimamu” kwa Gwajima na Lukuvi

  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika Uchaguzi huu

    Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao halali wa nchi hii. Askofu Mwamakula amesoma dua nzito ya kuomba Mungu ashushe Malaika...
  17. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe zoezi la uteuzi wa wagombea katika majimbo yaliyo na kasoro

    TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ISITISHE ZOEZI LA UTEUZI WA WAGOMBEA KATIKA MAJIMBO YALIYO NA KASORO. Kanuni ya Dhahabu (golden principle) inasema: "Siyo tu kuwa Haki itendeke, bali Haki ionekane kuwa imetendeka"! Katika mchakato wa Urudishaji fomu kuna vituko na shida mbalimbali ikiwemo baadhi ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

    Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha. Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele. Mchungaji Gwajima amesema...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Video kutoka maktaba: Baba Askofu Josephati Gwajima akimfufua mwanafunzi aliyefariki dunia ghafla

    Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona! Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
  20. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Tujiepushe na mabaradhuli

    Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo. Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana...
Back
Top Bottom