askofu

  1. Alvin A.

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza: Hivi CHADEMA wamejitoa au wametolewa?

    Ameandika Baba AskofuKalikawe Lwakalinda Bagonza #TUJIULIZE ZAIDI 1. Hivi Chadema wamejitoa au wametolewa? 2. Hivi Chadema wamesusa au Wamesuswa? 3. Hivi Chadema Wameacha au Wameachwa? Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu. - Media haiko na wapinzani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Rais Magufuli ni mchapakazi, watu wa namna hii ni wachache sana, sisi tumepata neema

    Askofu Kakobe amesema anabarikiwa sana na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu na kwamba Rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli. Kakobe amesema watu wenye hulka ya kufanya kazi kwa uzalendo uliotukuka aina ya Dr Magufuli ni wachache sana barani Afrika na sisi kama taifa hii ni neema. Askofu Kakobe...
  3. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu nautafuta, uliimbwa siku ya kusimikwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Mbeya April 2019

    Kwa aliye nao, tafadhali naomba anisaidie. Ni huo unaoimbwa mwanzoni mwa clip hii!
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Jionee mwenyewe
  5. Mlendamboga

    JamiiForums Tanzania Askofu Mbwilo wa Dayosisi ya KKKT Kusini Magharibi Magoye ashindwa vibaya uchaguzi

    Taarifa kutoka KKKT Dayosisi ya kusini magharibi Magoye, zinadokeza kuwa aliyekuwa askofu wake Tito Job Mbwilo ameshindwa kutetea kiti chake baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi uliofanyika 25 Octoba 2018 Aliyechaguliwa kwenye uchaguzi huo ni mchungaji Mlimitsi Nguvila ambaye kwa sasa anakuwa...
Back
Top Bottom