Askofu Benson Kagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona (COVID-19) zitarejea tarehe 31 Mei...
MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
MAADILI YA MADARAKA WAKATI WA VITA
Taifa letu liko vitani. Tunapambana na adui asiyeonekana kwa macho bali kwa mashine kali ya kisasa iliyo DsM. Tunachokiona kwa macho ni majeruhi, vifo, mazishi na majonzi.
Mara tuone askari yule kavunjika mguu, mara yule kanyofolewa macho yote na kamanda yule...
"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na...
Anaandika Baba Askofu, Severine Niwemugizi, Askofu wa jimbo Katoliki Rulenge - Ngara.
________________
Kwenye haya mapambano ya Korona, yatasemwa mengi. Wengine tutaambiwa hatuna imani. Sawa. Lakini kwenye vita mambo hayaendi kwa utaratibu wa kawaida. Ukiwa katikati ya vita kumuomba Mungu ni...
Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza...
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na...
VITA YA KAGERA Vs CORONA
Wakati wa vita ya Kagera, Baba wa Taifa akiwa Rais wa Tanzania, alilazimika kufanya mabadiliko ya uongozi wa Mkoa wa Ziwa Magharibi. Mkoa huu ulikuwa katika eneo la msitari wa mbele vitani. Alimuondoa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa na kumteua mwingine anayendana na mabadiliko...
Moshi/Mwanza. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa uaminifu, uhuru na haki.
Kanisa hilo limesema haki na kweli ikitamalaki katika taasisi au taifa lolote, umoja...
Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma.
Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania...
Wakati huu dondoo kubwa ya taifa na ambayo serikali yetu inaipa msukumo mkubwa ni mapambano dhidi ya kirusi corona. Mapambano haya hayana mzaha wala kebehi na yanadai umoja na mshikamano wa kitaifa. Usemi wa Ndg. Polepole kwamba corona ni sawa na wapinzani ni lugha ya mtu anayeligawa taifa...
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana...
Leo tarehe 10 Machi 2020 ni siku ambayo Mahakama ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam itatoa hukumu katika Kesi ya Uchochezi inayowakabili Viongozi Waadamizi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Hii...
Kamati ya Kitaifa ya pamoja kwa Maaskofu na Maashekhe ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini nchini Tanzania imemkemea Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kutoana madai ya kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya kisukuma chenye lengo la...
Ni ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma.
Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk
Nimpongeze sana Dr Munga...
Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote.
Amejiunga na Simba, sasa Simba wanasema wamesajiri jembe la uhakika. Nao Yanga wanasema Simba wamechukua bomu ambalo litawalipukia.
Mchezaji mwenyewe alipokuwa Yanga, alisema yeye ni Yanga na Yanga ni yeye. Hata damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.