Facebook wafuta uzushi wa askofu Josephat Gwajima kuhusu COVID 19 aliokuwa ameuandika kwenye ukurasa wake ndani ya mtandao huo

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
Screenshot_20200710-181323_Twitter.jpg
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Tunachojua mdee atafute kazi nyingine
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Hawakomi hawa kutafuta kiki

Jr
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Jihadharini sana na mtu huyu.
 
ukiona hivo ujue kipindi hiki mabeberu yameshikwa makalio, kama si kweli kwa nini wahangaike na ujumbe wa kipuuzi?
Facebook wameanzisha kanuni mpya ya kufuta, kufunga akaunti zote za propaganda na uzushi. Lakini usidhani ukimzushia mtu baki watafunga ila kwa suala la COVID ni issue ya kimataifa
 
Back
Top Bottom