arusha

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa daraja katika Mto Themi ni changamoto kubwa kwa Wakazi wa Kata ya Themi (Arusha)

    Wananchi wakivuka mto Themi kwa tabu kutokana na Kukosekana kwa daraja kwa zaidi ya miaka mitano. Mto huo ni kiunganishi kikubwa kati ya kata ya Themi, Lemara, Sinoni nk. Mto huo umekuwa ni hatari hasa kwa Wanafunzi na hata watu wazima kipindi cha mvua kutokana na kuhatarisha usalama wao...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

    Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake. Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote. Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya. Tayari bila...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni ama Makonda aingie kwenye mfumo wa Wana-Arusha au kinyume chake

    Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima. Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: Wana Arusha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake?? My...
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Makonda Arusha Unatisha

    Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo. 1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa. 2. Wakuu wa mikoa mingine wanaanza kujifunza upya. 3. Lema anahaha, muda si mrefu anaenda kukosa watu wa kwenda kwenye mikutano...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Rais Samia ameipendelea Arusha, amemtoa mwanae wa pekee na kumleta Arusha

    Nafahamu Arusha ni mji wa kitalii, Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ameamua kwa makusudi kuipendelea Arusha hata akamtoa mwanaye wa pekee (Paul Makonda) ili aje aungane nanyi, angeweza kuniacha nikafanya kazi ya Uenezi na amesema mwenyewe nimeifanya vizuri...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aingia Arusha, akabidhiwa ofisi na kuzungumza na Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

    Ndugu zangu Watanzania, Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara. Imeshuhudiwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi. Wabunge waliopo sasa...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
  12. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Makonda, Arusha hatuhitaji sifa, suala la wewe kukabidhiwa ofisi sisi halituhusu

    Habari za jioni ndugu wanajukwaa. Naripoti kutokea huku Arusha. Naomba nikupe Taarifa ndugu Makonda sisi watu wa Arusha tuko Busy na utafutaji. Acha sifaa za kijingaa. Nimeona tangazo la makabidhianobya ofisi kati yako na Ndugu Mhe sana Mongela. Swali wewe kukabidhiwa ofisi sisi linatuhusu...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Makonda atafuta staili ya kuingilia Arusha!

    Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa. Inasemekana kushushwa...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025. Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu. Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti. Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa. Anajua kucheza na nafasi yake. Kiukweli Arusha inakwenda kuwa...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

    Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  20. F.S

    JamiiForums Tanzania Makonda Tunyooshee tatu mzuka (wadudu) Arusha

    Habari wakuu. Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu. Nawasilisha. Asante
Back
Top Bottom