Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,346
10,220
Habari wana-JF,

Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri.

Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka kupata na mapendekezo kwa watu ambao mnajua maduka mengine.
 
1. Sound vision

2. Benson

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ukiacha hawa waliotajwa hapo juu wacheck Widodo Computers kwa PC used, wapo Stand kubwa karibu na Amana Bank, watafute Instagram kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom