Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali?

Pia bila kusahau TANESCO mnatutia aibu Umeme unakatika kwenye Mahoteli, na Process ya Kuwaka jenereta ni ndefu.

Aibu juu ya Aibu

Hizi Safari Hotels ziangaliwe upya, Taifa linawategemea kwenye kuwapa Malazi wageni alafu wanakutana na Drama.
 
wamiliki ni wabahili sana ili wapate faida maradufu inabidi wachukue vitu cheap hotel unakuta inamiundombinu ya hovyo! zipo hotel zina hadhi ya nyota tano lakini ikinyesha mvua zinavuja..!
wamiliki wanaangalia sana faida nono quality mtaitafuta nyinyi wateja hapo vipi..?😀
 
Una hoja mkuu. Je ni vigezo gani hasa hotel inapaswa kuwa navyo ili kupewa hadhi ya hotel ya kuhudumia wageni?, ambavyo kwa hotel za Arusha hazina?
Mahitaji ya Muhimu Mfano, Tools za kutumika katika chumba mfano, Miswaki, viatu vya ndani, Menu nzuri ya chakula, yan mtu akifika bc afeel kama yupo nyumban, sio kuanza kuomba na kuuliza vitu mbona hivi mbona vile, inapoteza muda.. Ukikaa Hoteli za 5Stars nyingi kwa Zanzibar utanielewa nini naamanisha
 
Unataka kusema umeenda kulala Gran Melia ukakuta hamna kiatu cha ndani? 😂😂😂 sema ukweli, umelala wapi huko?
 
Back
Top Bottom