arusha

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Prof. Kitila na Angela Kairuki kuongoza Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Utalii na Ukarimu

    Kufuatia agizo la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Aprili 4, 2024 akiwaapisha viongozi mbalimbali alitoa maelekezo mahususi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuhusu kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii kwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa...
  2. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Kimeumana hapa near planet Lodge Kin'gori mafuriko, hakuna gari kupita kwenda Moshi wala kuja Arusha, maji yameziba njia eneo la King'ori.
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha: Serikali Ina Mpango gani Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Zahanati?

    Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati! "Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani Longido wanatembea zaidi ya Kilomita 35 kutafuta huduma za afya. Je, ni lini Serikali itaunga Mkono...
  5. Bobldi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kina uzwa arusha njiro

    Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 BEI million 12 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

    Wakuu habarini, Mimi nimehitimu chuo mwaka jana, Accounting and finance, nauliza sehemu apa Arusha wanatoa nafasi za internship.
  7. MtuHabari

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Ilemela mnataka maafa ya vifo vya Watoto kama Arusha barabara ya Pasiansi - Kiseke?

    Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi. Barabara imeharibika sana na ina msongamano mkubwa wa magari hasa mabasi ya wanafunzi ambayo yanawahisha...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, hiace zote kupigwa marufuku Arusha

    "Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha” “Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

    Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo. Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana. Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru. Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari. Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja...
  12. Hossam

    JamiiForums Tanzania Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Tangu alfajiri abiria wapo na hakuna dalili ya kwenda mikoani. Fununu zilizopo ni kuwa darajani kwa Msomali pamejaa maji. Naweka picha ya stendi ndogo Arusha. Tunaomba mwenye taarifa kamili asaidie. Pangu Pakavu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mtume Boniphace Mwamposa amtembelea Paul Makonda ofisini kwake Arusha

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa ofisini kwake Jijini Arusha. Nabii Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa lake...
  14. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

    habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine? Je...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Salaam, shalom!! Nimefuatilia hotuba fupi ya RC wa Arusha, ilijaa utulivu na mtiririko uliopangika kabisa, hivyo kusema kuwa aliropoka, Si Kweli, alidhamiria kusema aliyosema, Tangu Mropokaji yule achafue Hali ya hewa majuzi, Waziri wa habari hakusema chochote, waziri wa Mambo ya nje...
  16. Zinnob5

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata chumba Cha 20k Arusha

    Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watu wa Arusha wanaweza kwenda popote kupambana, iko mikoa unakuta waganga wengi wa kienyeji. Kutambulisha polisi wa kitalii

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha. Makonda...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Makonda mafuriko ya Arusha yanakuhusu na tutakupima kwa hayo

    RC Makonda wa Arusha mafuriko yaliyotokea Arusha mjini hayajawahi kutokea siku za karibuni au pengine hayajawahi kutokea kabisa katika historia ya mji wa Arusha. Jiji la Arusha lina changamoto nyingi na zinahitaji utendaji uliotukuka. Siasa za viongozi wetu zimekuwa zikituumiza kwani hazizai...
Back
Top Bottom