Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume

Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume

Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba

Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri

Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,

Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,

Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,

Na hawana kabisa mpango wa kuoa😎

Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,

Wana wivu sana, hasa watu wazima,

Ni hayo tu.
 
Wazee wengi ndio watafutaji, nimeenda sehem nyingi hasa hizi za kula nyama. Yule anae kunawisha mikono au anae choma ni mzee kbs si sehem moja au mbili.. tofauti na maeneo kama Dar.

Hata waendesha boda wengi umri umeenda wanajimix na vijana humo humo, ni tofaut kdg na Dsm, huku kumkuta mzee au mtu umri flan ulioenda ni bodaboda si rahisi sana..
 
Wazee wengi ndio watafutaji, nimeenda sehem nyingi hasa hizi za kula nyama. Yule anae kunawisha mikono au anae choma ni mzee kbs si sehem moja au mbili.. tofauti na maeneo kama Dar.

Hata waendesha boda wengi umri umeenda wanajimix na vijana humo humo, ni tofaut kdg na Dsm, huku kumkuta mzee au mtu umri flan ulioenda ni bodaboda si rahisi sana..
kimsingi arusha wazee ndo wanajua kuchoma nyama, hata kwenye sherehe huwez kvta kijana kapewa kaz ya kuchoma nyama.
boda, huku watu hawafany kazi kwa kuangalia umri, bora mkono unaenda kinywani.
 
Kuna fact gan hapo.. ubora wa kuchoma nyama na umri... natak nijue kitu kipya.
unaweza mlinganisha muhasibu mwenye bachelor na mwenye experience ya 10 yrs kazini na cpa juu? Au bikra na kahaba kwenye kunyanduana? Au kuli mzoefu na aliyeanza ukuli jana ktk kubeba mizigo bandarini, au wale mbwa wa police trained na mbwa koko wa mtaani? Au panya nyagawa na panya wa nyumbani kwako?
 
Ujinga unaambukiza kule wale watu wa hovyo utasikia wanasema " Arusha ni nchi" kwamba sifa ila wazazi wanaumi watoto wao kuvaa nguo oversize tena wachafu.

Huko bhana unaweza kuta mtu ana miaka 40's ila anapiga picha kaonyesha kidole cha kati ,eti usela!?
 
Arusha ni mkoa wa vijana wapuuzi wanaojikuta wanajua. Unakuta amevaa mabuti makubwa, shati kubwa, nywele chafu, wanaongea lugha mbovu ila wanajiona wajanja. Wazazi wao na vijana wao wote kwa pamoja wachapwe viboko
Nafikiri wewe umekariri wale unaowaone mitandaoni ila sio kweli. Mbona vijana wengi wanavaa fresh tu huku Arusha mzee.
 
Back
Top Bottom