Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha.
Makonda...
Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
RC Makonda wa Arusha mafuriko yaliyotokea Arusha mjini hayajawahi kutokea siku za karibuni au pengine hayajawahi kutokea kabisa katika historia ya mji wa Arusha.
Jiji la Arusha lina changamoto nyingi na zinahitaji utendaji uliotukuka. Siasa za viongozi wetu zimekuwa zikituumiza kwani hazizai...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?
Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
Wananchi wakivuka mto Themi kwa tabu kutokana na Kukosekana kwa daraja kwa zaidi ya miaka mitano.
Mto huo ni kiunganishi kikubwa kati ya kata ya Themi, Lemara, Sinoni nk.
Mto huo umekuwa ni hatari hasa kwa Wanafunzi na hata watu wazima kipindi cha mvua kutokana na kuhatarisha usalama wao...
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya.
Tayari bila...
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.
Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: Wana Arusha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??
My...
Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo.
1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa.
2. Wakuu wa mikoa mingine wanaanza kujifunza upya.
3. Lema anahaha, muda si mrefu anaenda kukosa watu wa kwenda kwenye mikutano...
Nafahamu Arusha ni mji wa kitalii, Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ameamua kwa makusudi kuipendelea Arusha hata akamtoa mwanaye wa pekee (Paul Makonda) ili aje aungane nanyi, angeweza kuniacha nikafanya kazi ya Uenezi na amesema mwenyewe nimeifanya vizuri...
Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024.
PIA, SOMA:
Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa
Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri
Matukio baada ya...
https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa...
Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi.
Wabunge waliopo sasa...
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
Habari za jioni ndugu wanajukwaa.
Naripoti kutokea huku Arusha. Naomba nikupe Taarifa ndugu Makonda sisi watu wa Arusha tuko Busy na utafutaji. Acha sifaa za kijingaa. Nimeona tangazo la makabidhianobya ofisi kati yako na Ndugu Mhe sana Mongela.
Swali wewe kukabidhiwa ofisi sisi linatuhusu...
Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara.
Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa. Inasemekana kushushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.