Arusha: Zimebakia siku 6 tu kabla Neema ya Maandamano ya amani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,727
218,289
Screenshot_2024-02-21-15-13-39-1.png

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu , ya kupinga Dhiki , Ufukara , Ugumu wa Maisha , Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula , pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA , Sasa yameingia Arusha .

Wataalam wa kuhesabu namba baada ya kujua kwamba Maandamano hayo makubwa yamepangwa kufanyika tarehe 27 /02/2024 na baada ya kufahamu kwamba leo ni 21/02/2024 , Wamedai kwamba zimebakia siku 6 tu kabla ya shughuli hiyo kubwa kufanyika .

Usiondoke JF , maana mtumishi wako Erythrocyte atashiriki na atakuletea kila kinachojiri , ikiwemo taarifa za wote wanaoingilia Maandamano hayo kwa shari kama alivyofanya Biteko Mbeya .
 
Kikao kimeamua kuwaswaga arusha, hongera sana ninyi mtakao tumia vibaya muda wenu. (Saa 2 asb-11 jioni.)
 
Wamasai wa Ngorongoro na Loliondo wamesema wanaanza Msafara wa kuja Arusha wana hasira baada kuzuiwa kumsikiliza Jemadari Tundu Lissu.
 
View attachment 2911091

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu , ya kupinga Dhiki , Ufukara , Ugumu wa Maisha , Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula , pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA , Sasa yameingia Arusha .

Wataalam wa kuhesabu namba baada ya kujua kwamba Maandamano hayo makubwa yamepangwa kufanyika tarehe 27 /02/2024 na baada ya kufahamu kwamba leo ni 21/02/2024 , Wamedai kwamba zimebakia siku 6 tu kabla ya shughuli hiyo kubwa kufanyika .

Usiondoke JF , maana mtumishi wako Erythrocyte atashiriki na atakuletea kila kinachojiri , ikiwemo taarifa za wote wanaoingilia Maandamano hayo kwa shari kama alivyofanya Biteko Mbeya .
JITAHIDINI SANA WAFUASI WENU WASIVUNJE SHERIA, UKIZINGATIA ARUSHA INA WAVUTA BANGE WENGI, KITENDO CHA GHASIA TU, MAANA YAKE MAANDAMANO HAYATUFAI NA YASITISHWE MARA MOJA.
 
View attachment 2911091

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu , ya kupinga Dhiki , Ufukara , Ugumu wa Maisha , Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula , pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA , Sasa yameingia Arusha .

Wataalam wa kuhesabu namba baada ya kujua kwamba Maandamano hayo makubwa yamepangwa kufanyika tarehe 27 /02/2024 na baada ya kufahamu kwamba leo ni 21/02/2024 , Wamedai kwamba zimebakia siku 6 tu kabla ya shughuli hiyo kubwa kufanyika .

Usiondoke JF , maana mtumishi wako Erythrocyte atashiriki na atakuletea kila kinachojiri , ikiwemo taarifa za wote wanaoingilia Maandamano hayo kwa shari kama alivyofanya Biteko Mbeya .
Tunasubiri kwa hamu sana na tutashiriki maandamano hayo kwa amani kabisa. Mungu ibariki CHADEMA!
 
Back
Top Bottom