ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ajali: Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi

    Ajali imetokea maeneo ya Mbagala Zakhiem ambapo kuna Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi. 📸 - Adventure_36 "X"
  2. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  4. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Malori chakavu ni chanzo kikubwa cha ajali

    Kwa watu wanaosafiri kwa magari mara kwa mara watakubaliana na mimi kuwa, madereva wa Malori ni kati ya madereva walio iva kimafunzo pengine kuliko kundi lingine lolote barabarani. Huwa wapo makini, waangalifu, na hawafanyi maamuzi ya hovyo hovyo kama hawa wengine wanao tusafirisha. TATIZO...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Bado tabia ya bodaboda inapotekea ajali kujichukulia maamuzi

    Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda. Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana. wamechoma bus la saibaba huko tanga. Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Ajali ya Ngaramtoni

    Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha . Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
  8. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Huzuni Nyingine Yaikumba Arusha: Ajali Yachukua Roho Za Watu 15 Jioni Hii

    Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Nani mwenye Makosa kwenye hii ajali ya Bodaboda?

    Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku. Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki. Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Magari 13 Msafara wa Makonda; Tusome Alama za Nyakati

    Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara. Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sebastián Piñera: Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta

    Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa ndani ya ndege hiyo walinusurika ilipoanguka katika ziwa karibu na mji wa kusini wa Lago Ranco...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  14. Shining Light

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kila Bodaboda anayepata Ajali akipelekwa Taasisi ya Mifupa MOI hukatwa Miguu

    Nimekuwa nasikia tangu zamani kuwa ukipata ajali ya bodaboda kisha ukapelekwa MOI ni lazima ukatwe miguu yako. Hii ni kweli?
  15. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Magari ya TANESCO yanasababisha ajali na kukimbia

    Salam wana jukwaa, Una hii kero nimeipata siku nyingi ila sikuwa na msukumo wa kuileta humu mpaka ilipokutana na mtu wangu wa karibu, haya magari ya ndugu zetu wa tanesco yale ya emergency huwa hawajui ni muda gani waendeshe kana kwamba kuna dharula. Hii inapelekea gari lile kuendeshwa...
  16. dubu

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

    Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Bodaboda asababisha Ajali

    Angalia hapa jinsi Dereva Bodaboda alivyosababisha Ajali kwa Bodaboda mwenzake. Ushauri - BODABODA KUWENI MAKINI MNAPOKUWA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ukichukua video ya ajali Dubai unaweza kutozwa faini ya Tsh. Milioni 100 au zaidi au kifungo cha miezi 6 au vyote kwa pamoja

    Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo. Kwa upande...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

Back
Top Bottom